myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Nakubaliana na weweNenda kwa mwendo wako usipende kushindana na mtu kwasababu hata kuzaliwa, ulizaliwa kivyako
Ni kweli hiliNenda kwa mwendo wako usipende kushindana na mtu kwasababu hata kuzaliwa, ulizaliwa kivyako
πππDunia ya sasa unaweza ukawa na rafiki au ndugu wewe unamkinga asipatwe na mabaya ila yeye ndio chanzo cha mabaya yanayo kupata.
Sahihi piaKaa mbali na watu wanao hesabu mazuri
waliyo kufanyia.
Umeandika ukweliKwenye maisha kuna watu hatupaswi kuwadharau sababu ukweli ni kwamba bila wao tusingefika hapa tulipo, iwe walifanya mema au mabaya wame changia hatua zetu.
πππKatika kila aliyefanikiwa kuna mbeleko iliyombeba na kumvusha mahali au wakati ambao uliamua hatma ya kufanikiwa kwake. Tofauti ipo tu kati ya wale wanyenyekevu wanaozitambua na kuzienzi mbeleko zao hadharani na wale wajivuni wasiofanya hivyo. Kila penye mafanikio pana mbeleko!"
β οΈβ οΈβ οΈKatika kila aliyefanikiwa kuna mbeleko iliyombeba na kumvusha mahali au wakati ambao uliamua hatma ya kufanikiwa kwake. Tofauti ipo tu kati ya wale wanyenyekevu wanaozitambua na kuzienzi mbeleko zao hadharani na wale wajivuni wasiofanya hivyo. Kila penye mafanikio pana mbeleko!"
Inawezekana hiliBinadamu kadri anavyozidi kukua ndivyo ambavyo anazidi kubadilika." ~Togolani Mavura.
πππUkitaka Kufika MbaliKwenye Maisha Ya Mafanikio Sikuzote
Muheshimu Sana Anaekusema Vibaya Usimchukie Adui Peke Ndo Anaweza Kukupa Hatua Mpya Maishani.
SawaSiku utakayo fanya kwa ajili ya mtu mwingine bila kutarajia chochote ndipo Mungu atakapo fanya yale ambayo haukutarajia wala kuyawaza kwako
Ujumbe huoUkitaka Kufika MbaliKwenye Maisha Ya Mafanikio SikuzoteMuheshimu SanaAnaekusema Vibaya Usimchukie Adui Peke Ndo Anaweza Kukupa Hatua Mpya Maishani.
Ujumbe muhimu sanaKifo kinapokuja Tajiri anakua hana mali tena, Wala maskini Hana madeni tena, Maisha ya Hapa Duniani utupatia matabaka sana ila Kifo Utupatia usawa.
Hilo nalo ..Mwenyezi Mungu kamuumba kila mtu, kila muonekano, kila umbile na kila tabia na watu wa aina yake. Tatizo ni pale tunapolazimisha kuvutia na kupendwa na wale wasio wa aina yetu
πππWakati mwingine msimu wa neema unaweza usiufikie au ukachelewa sana ukakukuta moyo wako umejeruhiwa kiasi cha kutoifaidi neema yako. Usisimamishe kuishi ukisubiri yajayo ambayo huna miadi nayo. Ishi wakati ukisubiri na subiri ukiwa unaishi."
SawasawaWakati mwingine msimu wa neema unaweza usiufikie au ukachelewa sana ukakukuta moyo wako umejeruhiwa kiasi cha kutoifaidi neema yako. Usisimamishe kuishi ukisubiri yajayo ambayo huna miadi nayo. Ishi wakati ukisubiri na subiri ukiwa unaishi."
ππ"Si kila aliye katika maisha yako amefika, wengine wameegesha tu kwako wakisubiri majibu ya maombi yao kule kwingine walipotegeshea ndoto za maisha yao yajibiwe waende." ~Togolani Mavura.
NakubalianaZawadi kubwa katika uhusiano wowote ule ni uaminifu na kuheshimiana
ππJitihada haizidi majaaliwa." ~Togolani Mavura.