myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍Usikubali hali na mazingira unayopitia yaue ndoto yako." ~Togolani Mavura.
👍👍👍Usikubali hali na mazingira unayopitia yaue ndoto yako." ~Togolani Mavura.
👍👍👍Katika uongozi ni muhimu sana sana kutambua ni wakati gani una cheo tu, wakati gani una mamlaka tu, na wakati gani una vyote viwili, yaani cheo na mamlaka. Muhimu zaidi, kutambua nafasi yako na ukomo wa unachoweza kufanya katika mazingira yote hayo matatu!." ~Togolani Mavura.
Sawasawa kabisa ✔️"Si kila aliye katika maisha yako amefika, wengine wameegesha tu kwako wakisubiri majibu ya maombi yao kule kwingine walipotegeshea ndoto za maisha yao yajibiwe waende." ~Togolani Mavura.
✅️✅️✅️Katika uongozi ni muhimu sana sana kutambua ni wakati gani una cheo tu, wakati gani una mamlaka tu, na wakati gani una vyote viwili, yaani cheo na mamlaka. Muhimu zaidi, kutambua nafasi yako na ukomo wa unachoweza kufanya katika mazingira yote hayo matatu!." ~Togolani Mavura.
InawezekanaMwaka 2025 ni mwaka wa kutokufulia, ndo kwanza tumeanza, tunaanza pamoja, tujitahidi tusiachwe nyuma, tukimbie pamoja, wote tuna malengo cha kushangaza tukifika katikati tunaachana, hakuna wa kumlaumu mwisho wa mwaka, mipango yako juhudi zako, unaweza pambana
✅️✅️Valentine ni mwezi wa mapendo ndio, ila sio lazima umpende mtu na kumuonyesha kuwa unampenda wakati yeye hakupendi.Usiwaze wewe jionyeshe upendo mwenyewe na yapende maisha yako zaidi
AiseeValentine ni mwezi wa mapendo ndio, ila sio lazima umpende mtu na kumuonyesha kuwa unampenda wakati yeye hakupendi.Usiwaze wewe jionyeshe upendo mwenyewe na yapende maisha yako zaidi
SawaKilichobaki mwaka 2025 ni kujipenda mwenyewe, fanya maisha yako kuwa sehemu ya furaha yako, usitegemee furaha, maendeleo au kutoboa kutoka kwa watu wengine, cha kwanza pambana mpaka mwisho mwenyewe, wengine watakukuta safarini, code ya 2025 hii hapa
👍👍Katika maisha usimtambulishe mtu ambae humjui kwa undani kwa watu wako wa karibu, ukimtambulisha watu wako watamuamini kama wanavyokuamini wewe , na kitakachokuja kukutokea ni kugombana na watu wako, uliyemtambulisha kwao atawatapeli, atawadhulumu, atakimbia, atakuachia shida
Inawezekana sanaMwaka 2025 ni mwaka wa kutokufulia, ndo kwanza tumeanza, tunaanza pamoja, tujitahidi tusiachwe nyuma, tukimbie pamoja, wote tuna malengo cha kushangaza tukifika katikati tunaachana, hakuna wa kumlaumu mwisho wa mwaka, mipango yako juhudi zako, unaweza pambana
SawasawaKatika maisha usimtambulishe mtu ambae humjui kwa undani kwa watu wako wa karibu, ukimtambulisha watu wako watamuamini kama wanavyokuamini wewe , na kitakachokuja kukutokea ni kugombana na watu wako, uliyemtambulisha kwao atawatapeli, atawadhulumu, atakimbia, atakuachia shida