Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Acha kuwaonea watu Wivu kwenye Mafanikio Yao.Huwezi Jua Ni Vingapi Walipoteza Wakati wanatafuta Walivyonavyo Leo
AiseeUsitarajie watu wote Watakutendea sawa na wewe Ulivyowatendea Haijalishi Umefanya wema Kiasi gani
SawasawaPale tunapokosa tusikate tamaa ipo siku tutafanikiwa muhimu dua na Mapambano
Mimi mwenyeweFuraha Yako haipo Mikononi mwa Watu wengine, Furaha Yako Halisi huanza na wewe Mwenyewe.Jipe Furaha
SawaFuraha Yako haipo Mikononi mwa Watu wengine, Furaha Yako Halisi huanza na wewe Mwenyewe.Jipe Furaha
✅️✅️Unapoomba msaada omba kile kitakacho fanya kesho usirudi tena kuomba, Sio kuomba omba kila siku Utachokwa Mapema.
SawaMaisha ya sasa mtu akikusaidia kifedha shukuru, na asipokusaidia pia usilaumu maana hali ni ngumu mno
Furaha jipe mwenyeweFuraha Yako haipo Mikononi mwa Watu wengine, Furaha Yako Halisi huanza na wewe Mwenyewe.Jipe Furaha
✔️✔️Maisha ya sasa mtu akikusaidia kifedha shukuru, na asipokusaidia pia usilaumu maana hali ni ngumu mno