myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AmeenMungu akaanze nawe, atembee nawe, asikuache hata kwa dakika chache, Maombi yako yote mwaka huu yakapate kibali mbele zake, Amen
AmeenMungu akaanze nawe, atembee nawe, asikuache hata kwa dakika chache, Maombi yako yote mwaka huu yakapate kibali mbele zake, Amen
Kuna MUDA Majukumu yanakufanya uwe Macho kipindi ambacho wengine wamelala
AiseeUnapoomba msaada omba kile kitakacho fanya kesho usirudi tena kuomba, Sio kuomba omba kila siku Utachokwa Mapema.
KweliKuna MUDA Majukumu yanakufanya uwe Macho kipindi ambacho wengine wamelala
SawaWakati unapokuwa hauelewi kinacho endelea katika maisha yako, fumba tu macho, vuta pumzi na useme "Mungu, najua ni mpango wako huu, Nisaidie tu kuupitia
Sawasawa kabisaHaijalishi unapitia shida kubwa kiasi gani Usiache kulia na MUNGU wako, Msaada pekee wa dhati Unapatikana kwake.
NakubalianaHeshimu Mitazamo Ya Wengine Kwa Sababu Fikra Zetu Ni Tofauti Kama Vile Alama Za Vidole
🙏🙏Haijalishi unapitia shida kubwa kiasi gani Usiache kulia na MUNGU wako, Msaada pekee wa dhati Unapatikana kwake.
SahihiHaijalishi unapitia shida kubwa kiasi gani Usiache kulia na MUNGU wako, Msaada pekee wa dhati Unapatikana kwake.
Katika Maisha Yako Kuwa tayari Kwa lolote, Usitarajie kila kitu kitaenda kama Ulivyopanga.