Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huwenda Hatujuani, ila nakuombea kwa MUNGU usirudi kwenye Lile Giza ulilotumia nguvu nyingi Kutoka
✅️✅️Huwenda Hatujuani, ila nakuombea kwa MUNGU usirudi kwenye Lile Giza ulilotumia nguvu nyingi Kutoka
✅️✅️✅️Huwenda Hatujuani, ila nakuombea kwa MUNGU usirudi kwenye Lile Giza ulilotumia nguvu nyingi Kutoka
Uko sahihiUsikubali upweke ukudanganye kufanya maamuzi ya haraka. Kumbuka, maamuzi ya muda mfupi yanaweza kuacha athari za muda mrefu. Jiamini, tulia, na fanya maamuzi yenye hekima
📌📌📌Huwenda Hatujuani, ila nakuombea kwa MUNGU usirudi kwenye Lile Giza ulilotumia nguvu nyingi Kutoka
Sahihi kabisaUkipata Nafasi Ya Kumsamehe Mtu Msamehe Tu, Hata Kama Hamtakuwa Kama Zamani Maisha Mafupi Sana Haya
Kweli, Nakubaliana na hiliKesho Yako Ipo Mikononi mwa MUNGU Usikubali Kuvunjwa Moyo na Maneno ya Walimwengu
👍👍Usikubali upweke ukudanganye kufanya maamuzi ya haraka. Kumbuka, maamuzi ya muda mfupi yanaweza kuacha athari za muda mrefu. Jiamini, tulia, na fanya maamuzi yenye hekima
Hakuna Kitu Kinachodumu, Hata Matatizo Yetu. Endelea Kujaribu Na Kumwamini Mungu. Siku Moja Utayacheka Yaliyokufanya Ulie
Tambua Kuwa Kuna Mioyo Haiwezi Kupenda Hata Ukiitendea Mema na Kuna Mioyo Haitachukia Hata Ukiikosea
Sio kila Mtu anaweza kuwa Upande wako wengine ni daraja Tu la kukufikisha sehemu flani.
👍Sio kila Mtu anaweza kuwa Upande wako wengine ni daraja Tu la kukufikisha sehemu flani.