myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🙏🙏
Sio kwa Ubaya lakini Amini kuna Siku Mungu atakuheshimisha mbele ya Waliokudharau
Sio kwa Ubaya lakini Amini kuna Siku Mungu atakuheshimisha mbele ya Waliokudharau
Hakuna mtu anajali kuhusu wewe, Endelea kujitafuta, Usiache kujitafuta,Mwisho kabisa Usiache kumtafuta na Mungu.
Wakati mwingine ili ufanikiwe lazima ushindwe ili ujue nini hutakiwi kufanya
📌📌📌Hakuna mtu anajali kuhusu wewe, Endelea kujitafuta, Usiache kujitafuta,Mwisho kabisa Usiache kumtafuta na Mungu.
👍👍Kama wazazi wako sio Matajiri na waliweza kukupa Kile Ulichotaka, Basi Usiwasahau Pindi Utakapofanikiwa
Sio Kila Kitu Unachoomba Utapata Kwa Wakati Mengine Yatakufunza Maana Halisi Ya Kusubiri Hata Wakati Wa Majaribu
SawasawaJifunze kusifia cha kwako hata kama hakipo kwenye ubora,kitengeneze kiwe Bora sababu ndio cha kwako
SawaSio Kila Kitu Unachoomba Utapata Kwa Wakati Mengine Yatakufunza Maana Halisi Ya Kusubiri Hata Wakati Wa Majaribu
✔️✔️Sio Kila Kitu Unachoomba Utapata Kwa Wakati Mengine Yatakufunza Maana Halisi Ya Kusubiri Hata Wakati Wa Majaribu
SawaJifunze kusifia cha kwako hata kama hakipo kwenye ubora,kitengeneze kiwe Bora sababu ndio cha kwako
✔️✔️✔️Jifunze kusifia cha kwako hata kama hakipo kwenye ubora,kitengeneze kiwe Bora sababu ndio cha kwako
SawsAcha kuwaonea watu Wivu kwenye Mafanikio Yao.Huwezi Jua Ni Vingapi Walipoteza Wakati wanatafuta Walivyonavyo Leo
Acha kuwaonea watu Wivu kwenye Mafanikio Yao.Huwezi Jua Ni Vingapi Walipoteza Wakati wanatafuta Walivyonavyo Leo