Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Haijalishi Wanaongea Nini Kuhusu Wewe , Ila Usiache Kuwa Bize Na Mambo Yako , Siku Hizi Mafanikio Yako Ndio Heshima Yako Ni Vigumu Mtu Kukuzingatia Kama Huna Kitu
KweliMaisha ya sasa mtu akikusaidia kifedha shukuru, na asipokusaidia pia usilaumu maana hali ni ngumu mno
📌📌Haijalishi Wanaongea Nini Kuhusu Wewe , Ila Usiache Kuwa Bize Na Mambo Yako , Siku Hizi Mafanikio Yako Ndio Heshima Yako Ni Vigumu Mtu Kukuzingatia Kama Huna Kitu
Maisha ya sasa mtu akikusaidia kifedha shukuru, na asipokusaidia pia usilaumu maana hali ni ngumu mno
Sawa kabisaKinachotuuma zaidi Ni kwamba UMRI unakimbia zaidi Kuliko Mafanikio yetu
✅️✅️Fahamu kuwa Hakuna Mtu atakuja kukuokoa Usipoamka na Kupambana Mwenyewe
AiseeKinachotuuma zaidi Ni kwamba UMRI unakimbia zaidi Kuliko Mafanikio yetu
AmiinMungu akaanze nawe, atembee nawe, asikuache hata kwa dakika chache, Maombi yako yote mwaka huu yakapate kibali mbele zake, Amen
SahihiKinachotuuma zaidi Ni kwamba UMRI unakimbia zaidi Kuliko Mafanikio yetu
Kweli hiliKuna MUDA Majukumu yanakufanya uwe Macho kipindi ambacho wengine wamelala