Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
✅️✅️Tambua Kuwa Kuna Mioyo Haiwezi Kupenda Hata Ukiitendea Mema na Kuna Mioyo Haitachukia Hata Ukiikosea
Sawa kabisaSio kila Mtu anaweza kuwa Upande wako wengine ni daraja Tu la kukufikisha sehemu flani.
Ni Mwema.Mungu ni mwema
Sina uhakika kwa kweli..Huu Uzi bado upo
Upendo wa mama haujui mipaka, hata mvua na matope hayawezi kuzima joto la moyo wake kwa mtoto wake.
NakubalianaMUNGU Akianza kukujibu yale Uliyomuomba Jifunze kukaa kimya katika Maisha Yako
ipo siku Familia yako pia itakuwa na tabasamu kwasababu ya mafanikio yako
Nakubaliana. Ipo Sikuipo siku Familia yako pia itakuwa na tabasamu kwasababu ya mafanikio yako
Yule Mtu Unayemuombea Mabaya kila Siku ili Afeli kwenye harakati zake, Ndio tegemeo pekee kwenye Familia yao.
📌📌Usidanganyike na tabasamu. Kwa sababu mtu anacheka na wewe, haimaanishi anakupenda kwa dhati. Vitendo vyema ndivyo vinavyoonyesha upendo wa kweli
Ujumbe muhimuUsidanganyike na tabasamu. Kwa sababu mtu anacheka na wewe, haimaanishi anakupenda kwa dhati. Vitendo vyema ndivyo vinavyoonyesha upendo wa kweli
Tambua Kuwa Kuna MUDA sio Lazima ujieleze jitahidi vitendo vyako vikutambulishe wewe ni Nani
Tambua Kuwa Kuna MUDA sio Lazima ujieleze jitahidi vitendo vyako vikutambulishe wewe ni Nani
Amina🤲Sio kwa Ubaya lakini Amini kuna Siku Mungu atakuheshimisha mbele ya Waliokudharau
Kuna MUDA utatakiwa kutabasamu mbele ya wale wanaotaka kukuona Ukishindwa