myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Jitahidi katika harakati zako za kutafuta maisha, kutafuta hela, kutafuta Jina, kutafuta utajiri, Usimwache Mungu, mtegemee yeye kwa Kila kitu. Maana haina maanaa kuwa na kila kitu duniani halafu baada ya hapa ukaenda kuishi maisha mabaya na magumu sana
AminMungu akitaka kumimina baraka zake kwenye maisha yako, anaanza kutoa watu wasio sahihi kwako ili wasikumbwe na baraka zako.hivyi usihuzunike watu wanapokutenga acha waende ili baraka za Mungu zikujie.
Kweli..Mungu akitaka kumimina baraka zake kwenye maisha yako, anaanza kutoa watu wasio sahihi kwako ili wasikumbwe na baraka zako.hivyi usihuzunike watu wanapokutenga acha waende ili baraka za Mungu zikujie.
👍👍👍Jitahidi katika harakati zako za kutafuta maisha, kutafuta hela, kutafuta Jina, kutafuta utajiri, Usimwache Mungu, mtegemee yeye kwa Kila kitu. Maana haina maanaa kuwa na kila kitu duniani halafu baada ya hapa ukaenda kuishi maisha mabaya na magumu sana
Ujumbe huuKama unapitia changamoto yoyote nakuombea neema ya Mungu isipungue juu yako kataa roho ya kukata tamaa kwenye maisha yako
✔️✔️Kuna vita zingine onekana umeshindwa.
Vita nyingine zina nia ya kukupotezea mwelekeo,kukuchafulia jina,kukumalizia nguvu. sio kila vita lazima uonekane mshindi
You are a Winner but not to every battle Understand.
✔️✔️✔️Kuna vita zingine onekana umeshindwa.
Vita nyingine zina nia ya kukupotezea mwelekeo,kukuchafulia jina,kukumalizia nguvu. sio kila vita lazima uonekane mshindi
You are a Winner but not to every battle Understand.
📌📌Kuna vita zingine onekana umeshindwa.
Vita nyingine zina nia ya kukupotezea mwelekeo,kukuchafulia jina,kukumalizia nguvu. sio kila vita lazima uonekane mshindi
You are a Winner but not to every battle Understand.
✔️✔️Nyuma ya story ya kila mtu aliyefanikiwa leo kuna jana yake ngumu aliwahi kupitia
Kweli kabisaNyuma ya story ya kila mtu aliyefanikiwa leo kuna jana yake ngumu aliwahi kupitia
SawasawaNyuma ya story ya kila mtu aliyefanikiwa leo kuna jana yake ngumu aliwahi kupitia
Safari ya Mafanikio huwa ni safari ngumu inayoumiza ,inayochosha na kukatisha Tamaa
Lakini uking'ang'ana pasipo kukata tamaa utakula matunda ya kazi yako.
Chochote unachokiona Leo kimezaa matunda ya kuliwa ,matamu na kutamaniwa ujue kuna gharama imelipwa
Kweli..Nyuma ya kila tabasamu yapo maumivu mengi yaliojeruhi mioyo yetu
👍👍Nyuma ya kila tabasamu yapo maumivu mengi yaliojeruhi mioyo yetu
📌📌Safari ya Mafanikio huwa ni safari ngumu inayoumiza ,inayochosha na kukatisha Tamaa
Lakini uking'ang'ana pasipo kukata tamaa utakula matunda ya kazi yako.
Chochote unachokiona Leo kimezaa matunda ya kuliwa ,matamu na kutamaniwa ujue kuna gharama imelipwa
✔️✔️✔️Haijarishi uko katikati gizani nene kiasi gani usife moyo mbele kuna taa,mbele kuna nuru karibu itatokeza.
HAKUNA GIZA LINALODUMU UKIONA KUNA GIZA UJUE KUNA NA NURU
AiseeHaijarishi uko katikati gizani nene kiasi gani usife moyo mbele kuna taa,mbele kuna nuru karibu itatokeza.
HAKUNA GIZA LINALODUMU UKIONA KUNA GIZA UJUE KUNA NA NURU
Haijarishi uko katikati gizani nene kiasi gani usife moyo mbele kuna taa,mbele kuna nuru karibu itatokeza.
HAKUNA GIZA LINALODUMU UKIONA KUNA GIZA UJUE KUNA NA NURU
✅️✅️✅️Mungu akikubariki nafasi nzuri kwenye maisha saidia wanaohitaji msaada wako, jitahidi kuwa baraka kwenye maisha ya wengine.