myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jenga uaminifu na uishi daima.
Uaminifu ni mtaji. Jiaminishe.
Tunazijua stori nyingi za watu waliofanikiwa kwa kuonesha uaminifu tu.
Kosa vyote kwa jamii, lakini usionekane usie mwaminifu.
Soma vitabu vizuri upanue upeo wako.
Kusoma vitabu ni mentorship ya kiaina.
Unaingia maishani mwa mtu na kujifunza kupitia maisha yake.
Usipoteze nafasi hii. Soma vitabu,
Iba siri za ushindi
NakubalianaSoma vitabu vizuri upanue upeo wako.
Kusoma vitabu ni mentorship ya kiaina.
Unaingia maishani mwa mtu na kujifunza kupitia maisha yake.
Usipoteze nafasi hii. Soma vitabu,
Iba siri za ushindi
✅️✅️Soma vitabu vizuri upanue upeo wako.
Kusoma vitabu ni mentorship ya kiaina.
Unaingia maishani mwa mtu na kujifunza kupitia maisha yake.
Usipoteze nafasi hii. Soma vitabu,
Iba siri za ushindi
Jenga uaminifu na uishi daima.
Uaminifu ni mtaji. Jiaminishe.
Tunazijua stori nyingi za watu waliofanikiwa kwa kuonesha uaminifu tu.
Kosa vyote kwa jamii, lakini usionekane usie mwaminifu.
Daima ishi kwa kuwatia wengine moyo.
Usiwe mchoyo. Usitake kutoka mwenyewe.
Kama una vijana wako chini yako.
Hakikisha unakuwa kiranja wa kweli.
Wafundishe na watie moyo wa kupambana
Muhimu hiliJenga uaminifu na uishi daima.
Uaminifu ni mtaji. Jiaminishe.
Tunazijua stori nyingi za watu waliofanikiwa kwa kuonesha uaminifu tu.
Kosa vyote kwa jamii, lakini usionekane usie mwaminifu.
Jenga uaminifu na uishi daima.
Uaminifu ni mtaji. Jiaminishe.
Tunazijua stori nyingi za watu waliofanikiwa kwa kuonesha uaminifu tu.
Kosa vyote kwa jamii, lakini usionekane usie mwaminifu.
Daima jihoji kwenye maisha yako.
Usikubali kuishi bila dira.
Weka malengo yako.
Kumbuka kujitafakari na kujihoji mwenyewe.
Hii itakupa majibu ya maswali mengi magumu.
SawasawaMakinikia jambo moja.
Ni jambo jema kujua vitu vingi.
Unaweza kujua mambo mengi sana.
Jitahidi kuwa mtaalam wa jambo moja kwa undani sana.
Yaani kuwe na eneo, watu hawawezi kutoboa bila wewe.
✅️✅️Daima jihoji kwenye maisha yako.
Usikubali kuishi bila dira.
Weka malengo yako.
Kumbuka kujitafakari na kujihoji mwenyewe.
Hii itakupa majibu ya maswali mengi magumu.
Kweli kabisaMakinikia jambo moja.
Ni jambo jema kujua vitu vingi.
Unaweza kujua mambo mengi sana.
Jitahidi kuwa mtaalam wa jambo moja kwa undani sana.
Yaani kuwe na eneo, watu hawawezi kutoboa bila wewe.
Fungua njia yako mwenyewe.
Mara nyingi huwa tunahitaji msaada wa watu waliotutangulia.
Mara nyingi huwa tunatafuta kazi za kuanzia.
Ukumbuke malengo ni kufungua vyetu na kuwagusa wengi zaidi.
Akili nzuri - mwili mzuri.
Kula vyema jenga mwili wako.
Unakuwa na ustawi kulingana na kile unakula na kuweka maishani mwako.
Kula vyema, jenga afya yako na ustawi wa akili.
SawasawaFungua njia yako mwenyewe.
Mara nyingi huwa tunahitaji msaada wa watu waliotutangulia.
Mara nyingi huwa tunatafuta kazi za kuanzia.
Ukumbuke malengo ni kufungua vyetu na kuwagusa wengi zaidi.
Akili nzuri - mwili mzuri.
Kula vyema jenga mwili wako.
Unakuwa na ustawi kulingana na kile unakula na kuweka maishani mwako.
Kula vyema, jenga afya yako na ustawi wa akili.
✅️✅️✅️Akili nzuri - mwili mzuri.
Kula vyema jenga mwili wako.
Unakuwa na ustawi kulingana na kile unakula na kuweka maishani mwako.
Kula vyema, jenga afya yako na ustawi wa akili.
Ujumbe huu muhimuFungua njia yako mwenyewe.