Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Heshimu kila mtu. Narudia tena "kila mtu".
SawaUbunifu unatofautisha kati ya kiongozi na mfuasi.”
Steve Jobs
Mtambue na Jihadhari na mtu ambaye hana chochote cha kupoteza.
✅️✅️Fursa zina aibu, zinakusubiri uzikimbilie.”
Reginald Mengi
SawaUbunifu unatofautisha kati ya kiongozi na mfuasi.”
Steve Jobs
Ubunifu unatofautisha kati ya kiongozi na mfuasi.”
Steve Jobs
Fursa zina aibu, zinakusubiri uzikimbilie.”
Reginald Mengi
Hatua ya mwanzo ya mafanikio yoyote ni matamanio.”
Napoleon Hill
AiseeFursa zina aibu, zinakusubiri uzikimbilie.”
Reginald Mengi
SawaUsiinue sauti yako, boresha hoja yako.
NakubalianaBadili kufikiri kwako na utakuwa umebadili ulimwengu.”
Norman Vincent Peale
Ndoto zetu zote zinaweza kutokea ikiwa tuna ujasiri wa kuzifuata.”
Wale Disney
SawasawaAkili kubwa hujadili mawazo, akili ya wastani hujadili matukio, akili ndogo huzungumzia watu.”
Eleanor Roosevelt