myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawa kabisaHakuna mtu alifanikiwa maishani kwa kumdondosha mtu mwingine.
Sawa kabisaHakuna mtu alifanikiwa maishani kwa kumdondosha mtu mwingine.
✔️✔️Hakuna mtu alifanikiwa maishani kwa kumdondosha mtu mwingine.
✔️✔️✔️Kila mtu atakupenda pale utakapokuwa mshindi, so jaribu kushinda.
👍✔️Kushinda siyo kila kitu, lakini kutaka kushinda ni kila kitu.”Vince Lombardi
SawaChochote ambacho akili ya binadamu inaweza kuumba na kufikiri, inaweza kukikamilisha pia.”Napoleon Hill
SawaChochote ambacho akili ya binadamu inaweza kuumba na kufikiri, inaweza kukikamilisha pia.”Napoleon Hill
Kufahamu haitoshi, ni lazima tuweke kwenye matendo, Kutamani haitoshi, ni lazima tufanye.”Johann Wolfgang
AiseeHuwezi kuvuka bahari kama huna ujasiri wa kuacha kuona ufukwe.”Christopher Columbus
Chochote ambacho akili ya binadamu inaweza kuumba na kufikiri, inaweza kukikamilisha pia.”Napoleon Hill
📌📌Kushinda siyo kila kitu, lakini kutaka kushinda ni kila kitu.”Vince Lombardi
✅️✅️✅️Kufahamu haitoshi, ni lazima tuweke kwenye matendo, Kutamani haitoshi, ni lazima tufanye.”Johann Wolfgang
✔️✔️✔️Kufahamu haitoshi, ni lazima tuweke kwenye matendo, Kutamani haitoshi, ni lazima tufanye.”Johann Wolfgang
Huwezi kuvuka bahari kama huna ujasiri wa kuacha kuona ufukwe.”Christopher Columbus
SawaKushinda siyo kila kitu, lakini kutaka kushinda ni kila kitu.”Vince Lombardi
SawasawaKushinda siyo kila kitu, lakini kutaka kushinda ni kila kitu.”Vince Lombardi
SawaTunatengeneza hofu tunapokaa bila kufanya kitu. Tunaishinda hofu kwa matendo.”Dr. Henry Link
Muda wako ni mdogo, usiupoteze kuishi maisha ya mtu mwingine.”Steven Jobs
Tunatengeneza hofu tunapokaa bila kufanya kitu. Tunaishinda hofu kwa matendo.”Dr. Henry Link
SawasawaMtu mwenye kujiamini ndani yake, anapata kujiamini kwa wengine.”Hasidic Proverb
📌📌Muda mzuri wa kupanda mti ni miaka 20 iliyopita. Lakini muda mwingine mzuri wa pili ni sasa.”Chinese Proverb