myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Uko sawa
Anguka mara saba simama mara ya nane.”
Japanese Proverb
Anguka mara saba simama mara ya nane.”
Japanese Proverb
KweliKila kitu kina uzuri wake, lakini siyo kila mtu anaweza kuuona.”
Confucius
NakubalianaKila kitu kina uzuri wake, lakini siyo kila mtu anaweza kuuona.”
Confucius
SawaKila kitu kina uzuri wake, lakini siyo kila mtu anaweza kuuona.”
Confucius
Mlango mmoja wa furaha ukifungwa, mwingine unafunguliwa, lakini mara nyingi tunautazama sana ule uliofungwa na kushindwa kuona ule uliofunguliwa kwa ajili yetu.”
Helen Keller
SawasawaAnguka mara saba simama mara ya nane.”
Japanese Proverb
✔️✔️Mlango mmoja wa furaha ukifungwa, mwingine unafunguliwa, lakini mara nyingi tunautazama sana ule uliofungwa na kushindwa kuona ule uliofunguliwa kwa ajili yetu.”
Helen Keller
SawaAnguka mara saba simama mara ya nane.”
Japanese Proverb
Mtu ambaye hajawahi kufanya kosa hajawahi kujaribu kitu chochote.”
Albert Einstein
Changamoto zinafanya maisha yavutie na kuzishinda ni kufanya maisha kuwa na maana.”
Joshua J. Marine
Mtu ambaye hajawahi kufanya kosa hajawahi kujaribu kitu chochote.”
Albert Einstein
Kila siku ninajitahidi kufanya vizuri zaidi kuliko nilivyo fanya jana.”
Reginald Mengi