Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwenye kikao cha familia wenye hekima wapewe zaidi nafasi kuliko wenye pesa ama Matajiri, kipimo cha utu wetu sio nini ulichonacho, bali utakachozikwa nacho, kama hakuna anayezikwa na mali zake bali hekima zake basi Jamii itafakari upya ule utukufu wanaowapa wenye pesa.