myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Muda wako ni mdogo, usiupoteze kuishi maisha ya mtu mwingine.”Steven Jobs
👍👍👍Muda wako ni mdogo, usiupoteze kuishi maisha ya mtu mwingine.”Steven Jobs
Muda wako ni mdogo, usiupoteze kuishi maisha ya mtu mwingine.”Steven Jobs
NakubalianaUsiruhusu jana itawale sana leo.”Will Rogers
Muda mzuri wa kupanda mti ni miaka 20 iliyopita. Lakini muda mwingine mzuri wa pili ni sasa.”Chinese Proverb
KweliTunatengeneza hofu tunapokaa bila kufanya kitu. Tunaishinda hofu kwa matendo.”Dr. Henry Link
Sawa piaMtu mwenye kujiamini ndani yake, anapata kujiamini kwa wengine.”Hasidic Proverb
Mtu mwenye kujiamini ndani yake, anapata kujiamini kwa wengine.”Hasidic Proverb
Mtu mwenye kujiamini ndani yake, anapata kujiamini kwa wengine.”Hasidic Proverb
NimeelewaUsiruhusu jana itawale sana leo.”Will Rogers
Tunatengeneza hofu tunapokaa bila kufanya kitu. Tunaishinda hofu kwa matendo.”Dr. Henry Link
Tunatengeneza hofu tunapokaa bila kufanya kitu. Tunaishinda hofu kwa matendo.”Dr. Henry Link
Anzia ulipo. Tumia kile ulichonacho. Fanya kile unachokiweza.”
Arthur Ashe
Njia ya kuanza ni kuacha kuzungumza na kuanza kutenda.”Walt Disney
✔️✔️✔️Kuna njia moja tu ya kuepuka kukosolewa: usifanye kitu, usiseme kitu na usiwe chochote.”
Aristotle
SawasawaKuna njia moja tu ya kuepuka kukosolewa: usifanye kitu, usiseme kitu na usiwe chochote.”
Aristotle
SawaKisasi kizuri ni mafanikio makubwa.”
Frank Sinatra
Kisasi kizuri ni mafanikio makubwa.”
Frank Sinatra
Changamoto zinafanya maisha yavutie na kuzishinda ni kufanya maisha kuwa na maana.”
Joshua J. Marine
Anzia ulipo. Tumia kile ulichonacho. Fanya kile unachokiweza.”
Arthur Ashe