myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πππMtu ambaye hajawahi kufanya kosa hajawahi kujaribu kitu chochote.β
Albert Einstein
β οΈβ οΈβ οΈChangamoto zinafanya maisha yavutie na kuzishinda ni kufanya maisha kuwa na maana.β
Joshua J. Marine
Ili kufanikiwa, shauku yako ya mafanikio ni lazima iwe kubwa kuliko hofu yako ya kushindwa.β
Bill Cosby
AiseeIli kufanikiwa, shauku yako ya mafanikio ni lazima iwe kubwa kuliko hofu yako ya kushindwa.β
Bill Cosby
Kila siku ninajitahidi kufanya vizuri zaidi kuliko nilivyo fanya jana.β
Reginald Mengi
Nabadili..Badili kufikiri kwako na utakuwa umebadili ulimwengu.β
Norman Vincent Peale
Haujachelewa kuwa ambaye ungeweza kuwa.β
George Eliot
Jenga ndoto zako wewe mwenyewe, la sivyo mtu mwingine atakuajiri kujenga zake.β
Farrah Gray
SawasawaUnakuwa kile unachoamini.β
Oprah Winfrey
β οΈβ οΈβ οΈHaujachelewa kuwa ambaye ungeweza kuwa.β
George Eliot
Unakuwa kile unachoamini.β
Oprah Winfrey