Ugonjwa mkubwa kwa Vijana wadogo ni kuishi kwenye leo, kuabudu na kusifia, ni ugonjwa ule ule wa kupata kazi kwasababu ya kulamba miguu na sio vigezo, tuwakumbushe Vijana kwenye umri mdogo kuwa hakuna Mshairi mzuri mwenye mwisho mzuri, kazi na vigezo, bidii na uthubutu na sio vinginevyo.