myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawa kabisa
Si kila unayemuona timamu ni timamu. Wengi wanaonekakana timamu ni waathirika wa afya akili kuliko wanaokotoa makopo njiani. Tujenge tabia ya kuangalia afya zetu kwa kina sana"