myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa
Siku zote kuna ukweli nyuma ya NATANIA, kuna elimu kubwa sana nyuma ya SIFAHAMU, kuna hisia kubwa sana juu ya SIJALI na kuna maumivu makali sana nyuma ya NI SAWA”