Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unapokusudia kumtendea mtu kwa njia fulani, simama na tafakari kwanza: Je, ungefurahia ikiwa angekutendea vivyo hivyo?”
Baada ya mvua kuisha hata Mwamvuli hupoteza thamani na kuonekana mzigo, ni sawa na maisha yetu, thamani yako hupotea pale upotezapo umuhimu wako, kwenye dunia ya mifumo tegemezi, chagua kuwa huru.
Unapokusudia kumtendea mtu kwa njia fulani, simama na tafakari kwanza: Je, ungefurahia ikiwa angekutendea vivyo hivyo?”
Salimia Watu wakati unapanda ngazi kwakuwa wakati unashuka utawakuta hapo chini, vaa koti la Nidhamu na Heshima, litakuhifadhi wakati wa baridi kali ya manyanyaso ya dunia, watakumbuka nidhamu yako.
Umwonapo Chizi anaokota makopo barabarani usimcheke, ukiona Mtu anatembea anaongea mwenyewe usimdhihaki, ukiona Vijana wapo mtaani hawana ajira usiwabeze, ukiona Mtu anafanya kitu kwa kukosea usimcheke, chochote ukionacho kwenye hii dunia ambacho hakipo sawa kina sababu zake, wewe kuwa Mwema wakati wote kwakuwa tumewahi shuhudia watu wakiwa wale ambao wamekuwa wakiwacheka, Nidhamu na heshima havipitwi na wakati, duniani watu wanapigana na vita nyingi sana ambazo huzijui.
InawezekanaBaada ya mvua kuisha hata Mwamvuli hupoteza thamani na kuonekana mzigo, ni sawa na maisha yetu, thamani yako hupotea pale upotezapo umuhimu wako, kwenye dunia ya mifumo tegemezi, chagua kuwa huru.
Umwonapo Chizi anaokota makopo barabarani usimcheke, ukiona Mtu anatembea anaongea mwenyewe usimdhihaki, ukiona Vijana wapo mtaani hawana ajira usiwabeze, ukiona Mtu anafanya kitu kwa kukosea usimcheke, chochote ukionacho kwenye hii dunia ambacho hakipo sawa kina sababu zake, wewe kuwa Mwema wakati wote kwakuwa tumewahi shuhudia watu wakiwa wale ambao wamekuwa wakiwacheka, Nidhamu na heshima havipitwi na wakati, duniani watu wanapigana na vita nyingi sana ambazo huzijui.
SawasawaKwenye kikao cha familia wenye hekima wapewe zaidi nafasi kuliko wenye pesa ama Matajiri, kipimo cha utu wetu sio nini ulichonacho, bali utakachozikwa nacho, kama hakuna anayezikwa na mali zake bali hekima zake basi Jamii itafakari upya ule utukufu wanaowapa wenye pesa.
Umwonapo Chizi anaokota makopo barabarani usimcheke, ukiona Mtu anatembea anaongea mwenyewe usimdhihaki, ukiona Vijana wapo mtaani hawana ajira usiwabeze, ukiona Mtu anafanya kitu kwa kukosea usimcheke, chochote ukionacho kwenye hii dunia ambacho hakipo sawa kina sababu zake, wewe kuwa Mwema wakati wote kwakuwa tumewahi shuhudia watu wakiwa wale ambao wamekuwa wakiwacheka, Nidhamu na heshima havipitwi na wakati, duniani watu wanapigana na vita nyingi sana ambazo huzijui.
✅️✅️Kwenye kikao cha familia wenye hekima wapewe zaidi nafasi kuliko wenye pesa ama Matajiri, kipimo cha utu wetu sio nini ulichonacho, bali utakachozikwa nacho, kama hakuna anayezikwa na mali zake bali hekima zake basi Jamii itafakari upya ule utukufu wanaowapa wenye pesa.
SawasawaUmwonapo Chizi anaokota makopo barabarani usimcheke, ukiona Mtu anatembea anaongea mwenyewe usimdhihaki, ukiona Vijana wapo mtaani hawana ajira usiwabeze, ukiona Mtu anafanya kitu kwa kukosea usimcheke, chochote ukionacho kwenye hii dunia ambacho hakipo sawa kina sababu zake, wewe kuwa Mwema wakati wote kwakuwa tumewahi shuhudia watu wakiwa wale ambao wamekuwa wakiwacheka, Nidhamu na heshima havipitwi na wakati, duniani watu wanapigana na vita nyingi sana ambazo huzijui.
KweliSalimia Watu wakati unapanda ngazi kwakuwa wakati unashuka utawakuta hapo chini, vaa koti la Nidhamu na Heshima, litakuhifadhi wakati wa baridi kali ya manyanyaso ya dunia, watakumbuka nidhamu yako.
SawaCheo kisikupe dharau, Utajiri usikutenganishe na Watu, Umaarufu usikupe jeuri, Kipaji kisikupe majivuno, yani chochote ulichonacho leo fahamu ni kudra za Mwenyezi Mungu na kesho inaweza kuwa zamu ya mwingine, kuwa makini sana nyakati za ushindi.
✔️✔️Uongozi ni kukosea na kujifunza, uongozi ni kukubali kukosolewa na kurekebisha, uongozi ni kuwakilisha mawazo ya wengi na kuunda kitu kimoja, Uongozi ni kuwajibika inapobidi na kupongezwa watakapoamua, kikubwa zaidi ni kutimiza wajibu kuliko kuhitaji kusifiwa zaidi.
Uongozi ni kukosea na kujifunza, uongozi ni kukubali kukosolewa na kurekebisha, uongozi ni kuwakilisha mawazo ya wengi na kuunda kitu kimoja, Uongozi ni kuwajibika inapobidi na kupongezwa watakapoamua, kikubwa zaidi ni kutimiza wajibu kuliko kuhitaji kusifiwa zaidi.