myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Si kila unayemuona timamu ni timamu. Wengi wanaonekakana timamu ni waathirika wa afya akili kuliko wanaokotoa makopo njiani. Tujenge tabia ya kuangalia afya zetu kwa kina sana"
Muhimu sanaKunywa Maji - Kunywa glasi ya maji ili kuamsha mwili na kusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Muhimu sana piaOmba au Tafakari - Chukua muda wa sala au kutafakari ili kujenga mtazamo chanya na utulivu wa akili.
NakubalianaSi kila unayemuona timamu ni timamu. Wengi wanaonekakana timamu ni waathirika wa afya akili kuliko wanaokotoa makopo njiani. Tujenge tabia ya kuangalia afya zetu kwa kina sana
πππAmka Mapema - Anza siku yako mapema ili uwe na muda wa kutosha kupanga na kutekeleza majukumu.
πππAmka Mapema - Anza siku yako mapema ili uwe na muda wa kutosha kupanga na kutekeleza majukumu.
β οΈβ οΈβ οΈAmka Mapema - Anza siku yako mapema ili uwe na muda wa kutosha kupanga na kutekeleza majukumu.
Kunywa Maji - Kunywa glasi ya maji ili kuamsha mwili na kusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Wakati mwingine, safari ngumu zaidi ndiyo inayokufikisha kwenye mwanga wa kweli. Usiku huu, tulia, tafakari, na uamini kwamba kesho inakuja na nafasi mpya
SAWASAWAKunywa Maji - Kunywa glasi ya maji ili kuamsha mwili na kusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
Fanya Mazoezi - Mazoezi hata ya dakika 15 yatakusaidia kuimarisha afya na kuongeza nguvu.
Wakati mwingine, safari ngumu zaidi ndiyo inayokufikisha kwenye mwanga wa kweli. Usiku huu, tulia, tafakari, na uamini kwamba kesho inakuja na nafasi mpya
NAKUBALIANAFanya Mazoezi - Mazoezi hata ya dakika 15 yatakusaidia kuimarisha afya na kuongeza nguvu.
πππFanya Mazoezi - Mazoezi hata ya dakika 15 yatakusaidia kuimarisha afya na kuongeza nguvu.
MUHIMU SANA MAZOEZIFanya Mazoezi - Mazoezi hata ya dakika 15 yatakusaidia kuimarisha afya na kuongeza nguvu.
URAFIKI WA BAA..Muuza pombe anampenda sana mlevi.Ila hapendi Mtoto wake aolewe na mlevi
Tafakari Upendo unaopewa Kabla ya kuupokea.