myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KweliUkipata nafasi ya kumsamehe Mtu msamehe tu,Hata kama Hamtokuwa kama zamani, “Kumbuka Haya maisha Mafupi
KweliUkipata nafasi ya kumsamehe Mtu msamehe tu,Hata kama Hamtokuwa kama zamani, “Kumbuka Haya maisha Mafupi
SahihiUkipata nafasi ya kumsamehe Mtu msamehe tu,Hata kama Hamtokuwa kama zamani, “Kumbuka Haya maisha Mafupi
👍👍Ukiwa ni bora hauitaji kujisifia sana.Ubora wako utaonekana na watu watakupa credit.
📌📌Ukiwa ni bora hauitaji kujisifia sana.Ubora wako utaonekana na watu watakupa credit.
✔️Ukiwa ni bora hauitaji kujisifia sana.Ubora wako utaonekana na watu watakupa credit.
📌📌JIFUNZE KUSEMA SAWA BILA KUBISHA
JIFUNZE KUWA MPOLE BILA KUKASIRIKA,
JIFUNZE KUONDOKA KWENYE MAISHA YA WATU BILA CHUKI.
✔️✔️Kubali matokeo tu kwamba wewe sio wa muhimu sana kwa baadhi ya watu na uendelee na maisha yako
📌📌Kubali matokeo tu kwamba wewe sio wa muhimu sana kwa baadhi ya watu na uendelee na maisha yako
✔️✔️Kubali matokeo tu kwamba wewe sio wa muhimu sana kwa baadhi ya watu na uendelee na maisha yako
JIFUNZE KUSEMA SAWA BILA KUBISHA
JIFUNZE KUWA MPOLE BILA KUKASIRIKA,
JIFUNZE KUONDOKA KWENYE MAISHA YA WATU BILA CHUKI.
JIFUNZE KUSEMA SAWA BILA KUBISHA
JIFUNZE KUWA MPOLE BILA KUKASIRIKA,
JIFUNZE KUONDOKA KWENYE MAISHA YA WATU BILA CHUKI.
👍👍JIFUNZE KUSEMA SAWA BILA KUBISHA
JIFUNZE KUWA MPOLE BILA KUKASIRIKA,
JIFUNZE KUONDOKA KWENYE MAISHA YA WATU BILA CHUKI.
Jitahidi kuwaonyesha tabasamu, hata kwa wale wanaokuchukia
✅️✅️JIFUNZE KUSEMA SAWA BILA KUBISHA
JIFUNZE KUWA MPOLE BILA KUKASIRIKA,
JIFUNZE KUONDOKA KWENYE MAISHA YA WATU BILA CHUKI.
✅️✅️✅️Inatosha kuona wanaotuzunguka wanafurahiya matunda ya kile tulicholipanda.Japo wachache ni wabinafsi na wamejaa roho mbaya lakn wengi wao Ni wazuri na wapenda maendeleo
SawasawaInatosha kuona wanaotuzunguka wanafurahiya matunda ya kile tulicholipanda.Japo wachache ni wabinafsi na wamejaa roho mbaya lakn wengi wao Ni wazuri na wapenda maendeleo
Inatosha kuona wanaotuzunguka wanafurahiya matunda ya kile tulicholipanda.Japo wachache ni wabinafsi na wamejaa roho mbaya lakn wengi wao Ni wazuri na wapenda maendeleo
Nyota haing’ai bila giza, na mafanikio hayaji bila changamoto. Endelea kusonga, maana safari ngumu huleta ushindi mkubwa