myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi njema mlio safarini leo
Mtazamo wa fikira ni kila kitu kwenye maisha yako hapa Ndio Tunapoamua ukomavu wako
Binadamu wote tunayatamani mafanikio, Tofauti ni kwamba wote hatuwezi kuyaishi hayo maisha ya mafanikio.

Katika Utafutaji wako wa maisha jitahidi Kwa aina yako kutokutuma nguvu nyingi sana tumia nguvu kiasi na akili mingi itakusaidia kukuvusha sehemu Moja kwenda nyingine

✅️✅️✅️Binadamu wote tunayatamani mafanikio, Tofauti ni kwamba wote hatuwezi kuyaishi hayo maisha ya mafanikio.
1 👍👍👍Binadamu wote tunayatamani mafanikio, Tofauti ni kwamba wote hatuwezi kuyaishi hayo maisha ya mafanikio.