myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukijaliwa kupata mafanikio yako usisahau ulipo toka mana wale uliosota nao kwenye mapambano ndio maadui wakubwa kesho
Ukijaliwa kupata mafanikio yako usisahau ulipo toka mana wale uliosota nao kwenye mapambano ndio maadui wakubwa kesho
Nyota haingβai bila giza, na mafanikio hayaji bila changamoto. Endelea kusonga, maana safari ngumu huleta ushindi mkubwa
Nyota haingβai bila giza, na mafanikio hayaji bila changamoto. Endelea kusonga, maana safari ngumu huleta ushindi mkubwa
Wazazi wanaona mbali sana wakikuambia Ishi na watu vizurii maana yake utajua pindi umepatwa na jambo la aina yoyote
ππKatika biashara, Elimu au ujuzi wa kuendesha biashara ni muhimu kuzidi mtaji
β οΈβ οΈKatika biashara, Elimu au ujuzi wa kuendesha biashara ni muhimu kuzidi mtaji
ππKatika biashara, Elimu au ujuzi wa kuendesha biashara ni muhimu kuzidi mtaji
Kuhurumiana katika Kila hatua zenu za mahusiano na kueshimiana ni ufunguzi wa upendo,amani kati yenu kuthaminiana kujaliana katika Kila hali hofu ya Mungu hayo yote mkiyakamilisha kinafuata ndoa tu
Kubali kukaa kimya kwenye mijadala ambayo unajua kabisa hauelewi mada husika
Kuhurumiana katika Kila hatua zenu za mahusiano na kueshimiana ni ufunguzi wa upendo,amani kati yenu kuthaminiana kujaliana katika Kila hali hofu ya Mungu hayo yote mkiyakamilisha kinafuata ndoa tu
SAWASAWAKuhurumiana katika Kila hatua zenu za mahusiano na kueshimiana ni ufunguzi wa upendo,amani kati yenu kuthaminiana kujaliana katika Kila hali hofu ya Mungu hayo yote mkiyakamilisha kinafuata ndoa tu
β οΈβ οΈβ οΈKubali kukaa kimya kwenye mijadala ambayo unajua kabisa hauelewi mada husika
ππ€²Ukitenda wema siku zote, Mwenyezi MUNGU ndio atakyekulipa.
Usitegemee wanadamu wakulipe fadhila
β οΈβ οΈKuna namna mkizoweana sana ,hiyo Namna huwa inapunguza kiwango cha heshimaβ
πππUkitenda wema siku zote, Mwenyezi MUNGU ndio atakyekulipa.
Usitegemee wanadamu wakulipe fadhila
β οΈβ οΈKuna namna mkizoweana sana ,hiyo Namna huwa inapunguza kiwango cha heshimaβ
βοΈβοΈMtazamo wa fikira ni kila kitu kwenye maisha yako hapa Ndio Tunapoamua ukomavu wako