myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️Usikubali maoni ya wengine yakukatishe tamaa. Jiamini, jione mwenye uwezo na uamini safari yako.
✅️✅️Usikubali maoni ya wengine yakukatishe tamaa. Jiamini, jione mwenye uwezo na uamini safari yako.
SawaUsikubali maoni ya wengine yakukatishe tamaa. Jiamini, jione mwenye uwezo na uamini safari yako.
👍👍Usikubali maoni ya wengine yakukatishe tamaa. Jiamini, jione mwenye uwezo na uamini safari yako.
✅️✅️✅️Jiamini, thubutu na songa mbele. Changamoto ni sehemu ya safari, lakini ushindi ni kwa wale wasiokata tamaa.
Endelea kuamini ndoto zako na kuchukua hatua
SawasawaJiamini, thubutu na songa mbele. Changamoto ni sehemu ya safari, lakini ushindi ni kwa wale wasiokata tamaa.
Endelea kuamini ndoto zako na kuchukua hatua
Kula likeJamaaaani....We kaka una roho nzuriiii......Yani unanipa likes kabisa...Waaaaooow......Nnavyotupendaga tulikes sasa...Haya nshacomment
👍👍Kushindwa ni daraja la kufikia ushindi hujachelewa mradi uanze leo mafanikio huanza na hatua moja jiamini unaweza zaidi ya unavyofikiria moyo thabiti hauwezi kushindwa"
✅️✅️✅️Kushindwa ni daraja la kufikia ushindi hujachelewa mradi uanze leo mafanikio huanza na hatua moja jiamini unaweza zaidi ya unavyofikiria moyo thabiti hauwezi kushindwa"
👍👍👍Kushindwa ni daraja la kufikia ushindi hujachelewa mradi uanze leo mafanikio huanza na hatua moja jiamini unaweza zaidi ya unavyofikiria moyo thabiti hauwezi kushindwa"