moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jiamini, thubutu na songa mbele. Changamoto ni sehemu ya safari, lakini ushindi ni kwa wale wasiokata tamaa.
Endelea kuamini ndoto zako na kuchukua hatua
Utafanikiwa zaidi ukiamini kwamba kila jambo zuri linahitaji juhudi na subira. Jiamini, songa mbele bila woga