myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
InawezekanaHofu ni chanzo cha Umaskini
β οΈβ οΈThamini safari yako mwenyewe na usilinganishe hatua zako na za wengine. Kila mtu ana wakati wake wa kung'ara. Kuwa mvumilivu, endelea kujitahidi, na jiamini. Mwenyezi Mungu ana mipango bora kwa kila mmoja wetu β subira na juhudi zako zitazaa matunda kwa wakati wake...
Thamini safari yako mwenyewe na usilinganishe hatua zako na za wengine. Kila mtu ana wakati wake wa kung'ara. Kuwa mvumilivu, endelea kujitahidi, na jiamini. Mwenyezi Mungu ana mipango bora kwa kila mmoja wetu β subira na juhudi zako zitazaa matunda kwa wakati wake...
Jiamini na uamini kwamba unaweza kuwa yeyote yule kwa kadili unavyo taka wewe ongeza kujiamini utafanikiwa.