Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
✅️✅️Jifunze kutatua matatizo, (Problem solving skills) ni muhimu sana. Katika safari yako ya kutafuta kutimiza malengo yako utakutana na matatizo mengi sana unapaswa ujifunze namna gani unakwenda kukabiliana nayo