myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu awaponye wagonjwa
Zawadi kubwa katika uhusiano wowote ule ni uaminifu na kuheshimiana." ~Togolani Mavura.
Samahani hutumika mtu anapofanya kosa sio anapo vunja uaminifu,so jitahidi ukifanya kosa lisihusiane na kuvunja uaminifu maana kusamehe ni vyepesi ila kusahau na kuamini tena huwa vigumu sana
✔️✔️Samahani hutumika mtu anapofanya kosa sio anapo vunja uaminifu,so jitahidi ukifanya kosa lisihusiane na kuvunja uaminifu maana kusamehe ni vyepesi ila kusahau na kuamini tena huwa vigumu sana
SawasawaZawadi kubwa katika uhusiano wowote ule ni uaminifu na kuheshimiana." ~Togolani Mavura.
SahihiMaumivu ya usaliti huacha kovu kubwa ndani ya maisha jifunze kutowaumiza watu wako wa karibu ili kuepusha kupoteza uaminifu ishi kijanja.
✔️✔️✔️Kufanya kazi na watu kwa ufasaha na uaminifu mkubwa kuna faida
AiseeUaminifu ni kitu cha msingi sana kuwa nacho, kupitia uaminifu siku zote utastawi
Uaminifu ni kitu cha msingi sana kuwa nacho, kupitia uaminifu siku zote utastawi
Ni sahihi kabisaZawadi kubwa katika uhusiano wowote ule ni uaminifu na kuheshimiana." ~Togolani Mavura.
Hili kweliMaumivu ya usaliti huacha kovu kubwa ndani ya maisha jifunze kutowaumiza watu wako wa karibu ili kuepusha kupoteza uaminifu ishi kijanja.