myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Nakubaliana na weweHakuna kitu chenye gharama kubwa zaidi katika huu ulimwengu kama UAMINIFU! ndiomana masikini wengi huwa hawana
Nakubaliana na weweHakuna kitu chenye gharama kubwa zaidi katika huu ulimwengu kama UAMINIFU! ndiomana masikini wengi huwa hawana
✅️✅️Hakuna kitu chenye gharama kubwa zaidi katika huu ulimwengu kama UAMINIFU! ndiomana masikini wengi huwa hawana
Sahihi kabisaUaminifu ni kama penseli unapungua kadri unavyozidi kufanya makosa
📌📌Mafanikio ya kweli hayapimwi kwa mali au hadhi, bali kwa uaminifu wako kwa misingi ya haki, ukweli, na utu hata pale ambapo dunia inakushawishi kuyakataa....
📌📌Mafanikio ya kweli hayapimwi kwa mali au hadhi, bali kwa uaminifu wako kwa misingi ya haki, ukweli, na utu hata pale ambapo dunia inakushawishi kuyakataa....
Uko sawaMaumivu ya usaliti huacha kovu kubwa ndani ya maisha jifunze kutowaumiza watu wako wa karibu ili kuepusha kupoteza uaminifu ishi kijanja.
Uaminifu,mawasiliano,kuelewana na kuvumiliana ni nguzo imara zinazoshikilia mahusiano yenye malengo yasiporomoke
Tafuta amani, fuata ndoto zako, na kumbuka kuwa mwanga wako hauwezi kuzimwa na giza lolote..
MUHIMU SANA AMANITafuta amani, fuata ndoto zako, na kumbuka kuwa mwanga wako hauwezi kuzimwa na giza lolote..
Kweli kabisaMaadui wanaongezeka kadri ya mafanikio yanavozidi kuongezeka
✔️✔️Maadui wanaongezeka kadri ya mafanikio yanavozidi kuongezeka
Uaminifu,mawasiliano,kuelewana na kuvumiliana ni nguzo imara zinazoshikilia mahusiano yenye malengo yasiporomoke
SawasawaMfumo wako wa maisha usiendeshwe na hisia zako binafsi jifunze vitu vipya na mawazo mapya kubali mabadiliko.
NakubalianaJinsi unavyojichanganya na watu wengi zaidi ndivyo unavyoongeza uwezo wako wa kufikiri na kuwa mbunifu.
✔️✔️✔️Biashara yoyote ukiamua kuwa mbunifu na kuipenda kwa kuifanya kwa moyo Lazima ikuletee manufaa.
📌📌📌Biashara yoyote ukiamua kuwa mbunifu na kuipenda kwa kuifanya kwa moyo Lazima ikuletee manufaa.
Wapende sananawapenda WANAWAKE wote Tanzania na duniani kote pia.
📌📌📌Ni vizuri kuwa mbunifu kuliko kuwa mkosaji; ujuzi huleta mabadiliko." - Aristotle
Ni vizuri kuwa mbunifu kuliko kuwa mkosaji; ujuzi huleta mabadiliko." - Aristotle
👍Dunia tuliyopo saizi, ukishachagua kuwa MFANYA BIASHARA umechagua pia kuwa MBUNIFU.