myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaMambo matatu (3) Yanampa Mtu Kiburi. PESA, ELIMU, CHEO. Ukiwa na hivyo vitu na Bado Ukawa Mnyenyekevu Kwa Watu Wewe ni Tunu.
SawasawaMambo matatu (3) Yanampa Mtu Kiburi. PESA, ELIMU, CHEO. Ukiwa na hivyo vitu na Bado Ukawa Mnyenyekevu Kwa Watu Wewe ni Tunu.
Kuwa na kasoro ni sehemu ya UBINADAMU, kukubali kuwa una kasoro ni UUNGWANA,kujirekebisha kutokana na kasoro ni USHUJAA na kuelimisha watu kwa ulichojirekebisha ni UKARIMU. ubinadamu + uungwana+ushujaa+ukarimu = UADILIFU

👍👍Dunia tuliyopo saizi, ukishachagua kuwa MFANYA BIASHARA umechagua pia kuwa MBUNIFU.
✔️✔️Maisha yanaendelea kubadilika, hivyo kujua jinsi ya kujifunza, kuwa mbunifu, na kuwa tayari kwa mabadiliko ni muhimu ili kuendelea kuboresha ujuzi wako na kukabiliana na hali mpya.
👍👍Chochote unachofanya maishani, ikiwa unataka kuwa mbunifu na mwenye akili, na kukuza ubongo wako, lazima ufanye kila kitu kwa ufahamu kwamba kila kitu, kwa njia fulani, huunganika na kila kitu kingine." ~ Leonardo da Vinci
✔️✔️Acha kuwa mfungwa wa zamani zako.Kuwa mbunifu wa maisha yako ya baadaye.
✔️✔️Acha kuwa mfungwa wa zamani zako.Kuwa mbunifu wa maisha yako ya baadaye.
✔️✔️Acha kuwa mfungwa wa zamani zako.Kuwa mbunifu wa maisha yako ya baadaye.
Si lazima kuzima taa ya wenzako ili upande juu zaidi, unaweza kuwa mbunifu mkashirikiana na mwezako kufika mbali zaidi
Chochote unachofanya maishani, ikiwa unataka kuwa mbunifu na mwenye akili, na kukuza ubongo wako, lazima ufanye kila kitu kwa ufahamu kwamba kila kitu, kwa njia fulani, huunganika na kila kitu kingine." ~ Leonardo da Vinci
📌📌Chochote unachofanya maishani, ikiwa unataka kuwa mbunifu na mwenye akili, na kukuza ubongo wako, lazima ufanye kila kitu kwa ufahamu kwamba kila kitu, kwa njia fulani, huunganika na kila kitu kingine." ~ Leonardo da Vinci
✅️✅️✅️Chochote unachofanya maishani, ikiwa unataka kuwa mbunifu na mwenye akili, na kukuza ubongo wako, lazima ufanye kila kitu kwa ufahamu kwamba kila kitu, kwa njia fulani, huunganika na kila kitu kingine." ~ Leonardo da Vinci
Kuwa mbunifu nikama kuwa mjinga kuna kufanikiwa sanaaa na kuna kukosea sanaaaa....ukasifiwaa sanaaa au ukapondwaaa sanaaa......lakini ndio ubunifu huo
✔️✔️Kwenye maisha jaribu kuwa mbunifu katika kila kona usiogope kujifunza ,kuuliza usipojua itakuongezea kuzidi kuamini katika michongo yako unayoifukuzia
👍👍👍Kwenye maisha jaribu kuwa mbunifu katika kila kona usiogope kujifunza ,kuuliza usipojua itakuongezea kuzidi kuamini katika michongo yako unayoifukuzia
SawasawaKuwa mbunifu nikama kuwa mjinga kuna kufanikiwa sanaaa na kuna kukosea sanaaaa....ukasifiwaa sanaaa au ukapondwaaa sanaaa......lakini ndio ubunifu huo
SawasawaKwenye maisha jaribu kuwa mbunifu katika kila kona usiogope kujifunza ,kuuliza usipojua itakuongezea kuzidi kuamini katika michongo yako unayoifukuzia