myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salam kwenu wadau
AiseeBinadamu ukimpa kazi na pesa ata chagua pesa kwa binadamu asie kuwa mbunifu ila kwa binadamu mbunifu atachagua kazi ila sio lazima wote tuwe na kazi wengine tunatakiwa kutumika kwenye kazi za watu
Jifunze namna ya kuzungumza na watu. Vijana wengi tunapata wakati mgumu sana kupata fursa kwenye baadhi ya maeneo kwa kauli zetu na kwa namna tunavyozungumza na watu waliotuzidi vyeo,Umri na hata maarifa. Vile unavyoongea na mshikaji wako si sawa utakavyoongea na boss wako.
NakubalianaJifunze namna ya kuzungumza na watu. Vijana wengi tunapata wakati mgumu sana kupata fursa kwenye baadhi ya maeneo kwa kauli zetu na kwa namna tunavyozungumza na watu waliotuzidi vyeo,Umri na hata maarifa. Vile unavyoongea na mshikaji wako si sawa utakavyoongea na boss wako.
Jifunze Nidhamu ya hali ya juu (discipline) katika kila eneo, tuwe na nidhamu ya kutumia muda vizuri, nidhamu ya pesa,Nidhamu ya kuongea. Unajua ukiya discipline vizuri maisha yako, itakusaidia kutengeza habits Mpya zitakazo kusaidia
Jifunze Nidhamu ya hali ya juu (discipline) katika kila eneo, tuwe na nidhamu ya kutumia muda vizuri, nidhamu ya pesa,Nidhamu ya kuongea. Unajua ukiya discipline vizuri maisha yako, itakusaidia kutengeza habits Mpya zitakazo kusaidia
SawasawaTujifunze kutumia vyema maendeleo ya sayansi na teknolojia. Tuko kwenye ulemwengu unaokua sana kiteknolojia mambo mengi sasa yamerahisishwa. Kupitia simu yako unaweza kujifunza mambo Mengi kwa bei nafuu tu ya bando lako. Mambo ambayo zamani ilikuwa mpaka ukakae darasani.
✅️✅️✅️Tujifunze kutumia vyema maendeleo ya sayansi na teknolojia. Tuko kwenye ulemwengu unaokua sana kiteknolojia mambo mengi sasa yamerahisishwa. Kupitia simu yako unaweza kujifunza mambo Mengi kwa bei nafuu tu ya bando lako. Mambo ambayo zamani ilikuwa mpaka ukakae darasani.
✅️✅️✅️Tujifunze kutumia vyema maendeleo ya sayansi na teknolojia. Tuko kwenye ulemwengu unaokua sana kiteknolojia mambo mengi sasa yamerahisishwa. Kupitia simu yako unaweza kujifunza mambo Mengi kwa bei nafuu tu ya bando lako. Mambo ambayo zamani ilikuwa mpaka ukakae darasani.
Nakubalianaunapaswa Kujifunza kuwa mtatuzi wa kero na matatizo yanayoikabili jamii inayokuzunguka,hii itakujengea uwezo mkubwa wa kutatua hata zile changamoto zitakazo kukabili wewe binafsi katika safari yako ya mafaniko.
✔️✔️jifunze namna ya kuishi nao kwa amani ili wakusaidie kutimiza ndoto yako kwa urahisi.
SawasawaJifunze stadi za Maisha (Life skills),Duniani kuna watu zaidi ya bilioni 7 na kila mtu anatabia zake na ana mitazamo yake,hivyo ni vizuri kila mara ujifunze stadi za maisha,namna gani ya kuishi na watu wa aina tofauti tofauti
📌📌📌Jifunze stadi za Maisha (Life skills),Duniani kuna watu zaidi ya bilioni 7 na kila mtu anatabia zake na ana mitazamo yake,hivyo ni vizuri kila mara ujifunze stadi za maisha,namna gani ya kuishi na watu wa aina tofauti tofauti
Uko sahihiJifunze kuwa Mbunifu. Hakuna kitu kipya sana,vitu ni vilevile,lakini kama kijana mwenye ndoto kubwa jifunze kuwa mbunifu,Usiendelee kufanya vitu kwa mazoea,Kuwa mbunifu katika kila jambo unalofanya ili ulete utofauti katika eneo husika.
unapaswa Kujifunza kuwa mtatuzi wa kero na matatizo yanayoikabili jamii inayokuzunguka,hii itakujengea uwezo mkubwa wa kutatua hata zile changamoto zitakazo kukabili wewe binafsi katika safari yako ya mafaniko.
✅️✅️✅️Jifunze kuwa Mbunifu. Hakuna kitu kipya sana,vitu ni vilevile,lakini kama kijana mwenye ndoto kubwa jifunze kuwa mbunifu,Usiendelee kufanya vitu kwa mazoea,Kuwa mbunifu katika kila jambo unalofanya ili ulete utofauti katika eneo husika.
Ujumbe wa nguvuJifunze Kushirikiana na Vijana wenzako katika kufanya mambo mbalimbali, katika karne ya leo Vijana wengi tumekuwa wabinafsi sana,tunaamini kwamba tunaweza kufanya vitu peke yetu,kitu ambacho si sahihi. Sisi ni kama viungo katika mwili kila mtu ana uwezo tofauti na mwingine..
Jifunze kutatua matatizo, (Problem solving skills) ni muhimu sana. Katika safari yako ya kutafuta kutimiza malengo yako utakutana na matatizo mengi sana unapaswa ujifunze namna gani unakwenda kukabiliana nayo
✅️✅️tunapaswa kufanya Kazi kwa kutegemeana,tunapaswa kujumuika pamoja katika kusaidiana kila mmoja atimize lengo lake