Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huduma ya Uhakika kwa Wateja – Delivery ni Muhimu. Ili kuwafanya wateja wako waendelee kununua kwako, jenga mazingira mazuri kwao. Usiwalazimishe kufika dukani kila mara—badala yake, toa huduma ya kupeleka bidhaa (delivery). Unaweza kutumia daladala kupunguza gharama badala ya kutumia bodaboda au magari binafsi. Hii itakusaidia kuweka bei zako kuwa shindani sokoni bila kupoteza wateja.