myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Nishagonga!Kama uko macho gonga likes
Dar au wapi? Wengine tupo vijijini huku Koromije wajua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]From morning will be at Homeplace.... And later in the hotel from 18. 00 pm till dawn
Kwa mawasiliano zaidi contact; mahondaw
Cc Smart911
Kabisa mkuu. Siku yako imeishaje?Tupate baraka na amani
Yeah Dar es SalaamDar au wapi? Wengine tupo vijijini huku Koromije wajua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru imeisha nikiwa na afya..vingine ni juhudi tuKabisa mkuu. Siku yako imeishaje?
me loves u and your childrenI love my children they are my heart and soul
Hakika, mimi ni mmojawapo niliebeba mzigo mzito wa hesabu advanced level, chuo nimesoma Account. Uzito wote wa PCM umeishia pale,nimeondoka na Basic maths tu.Mwanafunzi aulizwe o level anataka kusomea nini ili akienda a-level ajengwe kwa misingi ya anacho kitaka kusomea chuo.Wangeweza kustreamline kidogo ingesaidia. Yawe targeted zaidi kama ambavyo wazungu wameanza kufanya. Wanafuta ma- algebra na mengineyo kwa wanafunzi ambao major zao hazitayahitaji. Kama ndoto yako ni kuwa software engineer wanakufundisha hesabu ambazo ziko targetted. Engineering hali kadhalika. Artificial intelligence, Bio Technology...Siyo kusoma tu majitu ambayo wala hutayahitaji huko mbele ya safari haijalishi kama yana faida za juu juu...