myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
NakubalianaUkitaka kuishi vizuri hapa duniani, wewe onyesha kuwatambua watu, jali hisia zao, heshimu imani zao, hifadhi aibu zao, linda faragha zao na epuka kukanyaga rizki zao. Kisha ongeza matumizi ya maneno samahani na shukrani katika kauli zako. Ni mambo madogo yenye matokeo makubwa
SawasawaUkivumiliwa, vumilika!" ~Togolani Mavura
SawasawaKatika harakati za kusaka pesa, mali na kutambulika katika jamii epuka kupoteza afya ya mwili, afya ya akili, na mahusiano na watu (support system). Ukivipoteza hivi vitatu, hutavifurahia na kuona thamani ya vile vya vitatu vya kwanza." ~Togolani Mavura.
Ukitaka kuishi vizuri hapa duniani, wewe onyesha kuwatambua watu, jali hisia zao, heshimu imani zao, hifadhi aibu zao, linda faragha zao na epuka kukanyaga rizki zao. Kisha ongeza matumizi ya maneno samahani na shukrani katika kauli zako. Ni mambo madogo yenye matokeo makubwa
SawasawaUnapishana na riziki yako pale unapoamua kuacha njia kuu na kuchukua denge kwa kutafuta urahisi." ~Togolani Mavura.
SawasawaWakati wa Mungu hauwahi wala hauchelewi. Mwenyezi Mungu yuko na kila yule mwenye kusubiri."
Hili pia sawsHata minong'ono huondoa utulivu penye ukimya." ~Togolani Mavura.
Nalikubali hiliWakati wa Mungu hauwahi wala hauchelewi. Mwenyezi Mungu yuko na kila yule mwenye kusubiri."
SawasawaUkichelewa kuamua, utaamuliwa maana maamuzi mengine ya wengine nayo hayawezi kusimama kusubiri maamuzi yako hadi hapo utakapojisikia. Tambua katika maisha, uhuru wa maamuzi yako unaishia pale maamuzi ya wengine yanapoanzia. Epuka kutengeneza foleni ya maamuzi. Amua kwa wakati!"
Sawasawa ✔️Ukichelewa kuamua, utaamuliwa maana maamuzi mengine ya wengine nayo hayawezi kusimama kusubiri maamuzi yako hadi hapo utakapojisikia. Tambua katika maisha, uhuru wa maamuzi yako unaishia pale maamuzi ya wengine yanapoanzia. Epuka kutengeneza foleni ya maamuzi. Amua kwa wakati!"
SawasawaWakati wa Mungu hauwahi wala hauchelewi. Mwenyezi Mungu yuko na kila yule mwenye kusubiri."
SawasawaUkichelewa kuamua, utaamuliwa maana maamuzi mengine ya wengine nayo hayawezi kusimama kusubiri maamuzi yako hadi hapo utakapojisikia. Tambua katika maisha, uhuru wa maamuzi yako unaishia pale maamuzi ya wengine yanapoanzia. Epuka kutengeneza foleni ya maamuzi. Amua kwa wakati!"
✅️✅️Kila siku ni nafasi mpya ya kujifunza. Ikawe siku ya baraka na mafanikio kwenye utafutaji wako
✔️✔️✔️Umri na Afya ni vyanzo muhimu katika mafanikio.
📌📌📌Umri na Afya ni vyanzo muhimu katika mafanikio.
✔️✔️✔️Uzuri Wa Chako Hata Kama Ni Kidogo Hakina Masimango.
✅️✅️✅️Kila siku ni nafasi mpya ya kujifunza. Ikawe siku ya baraka na mafanikio kwenye utafutaji wako