myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kwema kabisaKwema
Kwema kabisaKwema
Furaha inapatikana pale unapoacha kulinganisha maisha yako na ya mwingine. Kila mmoja kabarikiwa kivyake.
📌📌📌Hakuna raha inayokuja katika maisha yako baada ya kuwa mzee Kama ukiacha alama ya kudumu katika kuwafanya binadamu wenzako wawe na Furaha, Amani pamoja na tumaini na mda wa kuyakamilisha hayo ni sasa
Hakuna raha inayokuja katika maisha yako baada ya kuwa mzee Kama ukiacha alama ya kudumu katika kuwafanya binadamu wenzako wawe na Furaha, Amani pamoja na tumaini na mda wa kuyakamilisha hayo ni sasa