myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌
Hakuna raha inayokuja katika maisha yako baada ya kuwa mzee Kama ukiacha alama ya kudumu katika kuwafanya binadamu wenzako wawe na Furaha, Amani pamoja na tumaini na mda wa kuyakamilisha hayo ni sasa