myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hakuna raha inayokuja katika maisha yako baada ya kuwa mzee Kama ukiacha alama ya kudumu katika kuwafanya binadamu wenzako wawe na Furaha, Amani pamoja na tumaini na mda wa kuyakamilisha hayo ni sasa

kila siku ni nafasi mpya ya kuandika hadithi yako, usiruhusu siku yoyote kupita bila kuishi kwa furaha na shukrani

β οΈβ οΈβ οΈHakuna raha inayokuja katika maisha yako baada ya kuwa mzee Kama ukiacha alama ya kudumu katika kuwafanya binadamu wenzako wawe na Furaha, Amani pamoja na tumaini na mda wa kuyakamilisha hayo ni sasa
ππkila siku ni nafasi mpya ya kuandika hadithi yako, usiruhusu siku yoyote kupita bila kuishi kwa furaha na shukrani
Maisha ni zawadi, na kila siku ni ukurasa mpya wa kuandika hadithi yako. Usikubali huzuni za jana ziibe furaha ya leo. Tembea kwa matumaini, shukuru kwa kidogo ulichonacho, na uendelee kupambana kwa ajili ya kesho yenye mwanga.
Moyo wa furahaPenye moyo wako ndipo ilipo furaha yako kuu Hapo ndipo nafsi yako hupata liwazo na mwili wako kulihisi kumbato halisi. Hapo ndipo akili hushindiapo na kulalapo yalipo maisha yako
Penye moyo wako ndipo ilipo furaha yako kuu Hapo ndipo nafsi yako hupata liwazo na mwili wako kulihisi kumbato halisi. Hapo ndipo akili hushindiapo na kulalapo yalipo maisha yako

Ndivyo maisha yalivyo...Watu wazuri watakupa furaha..watu wabaya watakupa funzo..watu bora watakupa kumbukumbu zisizosahaulika.
Zingati usimlaumu yoyote kwa ajili ya maisha yako.
Maisha ni zawadi, na kila siku ni ukurasa mpya wa kuandika hadithi yako. Usikubali huzuni za jana ziibe furaha ya leo. Tembea kwa matumaini, shukuru kwa kidogo ulichonacho, na uendelee kupambana kwa ajili ya kesho yenye mwanga.
Ndivyo maisha yalivyo...Watu wazuri watakupa furaha..watu wabaya watakupa funzo..watu bora watakupa kumbukumbu zisizosahaulika.
Zingati usimlaumu yoyote kwa ajili ya maisha yako.
βοΈβοΈβοΈNdivyo maisha yalivyo...Watu wazuri watakupa furaha..watu wabaya watakupa funzo..watu bora watakupa kumbukumbu zisizosahaulika.
Zingati usimlaumu yoyote kwa ajili ya maisha yako.
Maisha ni zawadi, na kila siku ni ukurasa mpya wa kuandika hadithi yako. Usikubali huzuni za jana ziibe furaha ya leo. Tembea kwa matumaini, shukuru kwa kidogo ulichonacho, na uendelee kupambana kwa ajili ya kesho yenye mwanga.
Furaha inapatikana pale unapoacha kulinganisha maisha yako na ya mwingine. Kila mmoja kabarikiwa kivyake.