Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Furaha ni sehem ya maisha ya mwanadamu..,, Ukipata nafasi ya kufurahi furahi ipasavyo maana haujui kesho yako maisha yanabadilika.
AiseeUsiiweke Furaha yako kwenye hali ya mtu mwingine. Kuna ambao wakishajua kuwa wanaweza kukuamulia hisia zako, watakufanyia visa vya makusudi kila siku
Wazazi na familia yako ndio watu pekee ambao watashiriki katika furaha yako na kusimama nawe hata wakati mambo ni magumu. Wafanye kuwa kipaumbele chako cha kwanza
Wazazi na familia yako ndio watu pekee ambao watashiriki katika furaha yako na kusimama nawe hata wakati mambo ni magumu. Wafanye kuwa kipaumbele chako cha kwanza
Itunze Furaha na Amani yako, usiruhusu ishikiliwe na mtu mwingine na akuamulie wakati gani Ufurahi au wakati gani usifurahi
Itunze Furaha na Amani yako, usiruhusu ishikiliwe na mtu mwingine na akuamulie wakati gani Ufurahi au wakati gani usifurahi
Mahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana
📌📌Furaha ya kweli inatokana na kushinda changamoto, kuwa na imani katika uwezo wako, na kuhisi nguvu inayotokana na hilo
Furaha ya kweli inatokana na kushinda changamoto, kuwa na imani katika uwezo wako, na kuhisi nguvu inayotokana na hilo
Furaha haiko kwenye vitu vya nje, iko ndani yako. Tafuta amani moyoni mwako.