myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SAWA
Furaha haiko kwenye vitu vya nje, iko ndani yako. Tafuta amani moyoni mwako.

Mahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana

Asikudanganye mtu, kuna raha ya kuwa na chako.
It feels good to have something that’s solely yours; be it a place, a job, a business, a pet, a hobby, a bank account, an investment, a career, a device, or a person.
Keep finding it; something that makes you sleep well at night

✔️✔️✔️Sisi sote ni mawindo ya hisia ya huzuni. Ni muhimu sana kuwa makini jinsi unavyoitafuta furaha yako.
📌📌📌Kuwa na hofu ni upotezaji wa muda. Hakubadili chochote. Inachokifanya ni kukuibia furaha yako na kukuzuia usiweze kufanya chochote
✅️✅️✅️Hakikisha furaha yako haitokani na machozi ya wengine
📌📌📌Kuwa na hofu ni upotezaji wa muda. Hakubadili chochote. Inachokifanya ni kukuibia furaha yako na kukuzuia usiweze kufanya chochote
✔️✔️✔️Hakikisha furaha yako haitokani na machozi ya wengine
✅️✅️✅️Ubora wa maisha yako ndio utakaoongeza furaha yako na kujiamini kwako
📌📌📌📌Ubora wa maisha yako ndio utakaoongeza furaha yako na kujiamini kwako
Acha kudhani watu wana hasira na wewe, acha kutaka kujaribu kusoma mawazo ya watu. Acha kujaribu kudhibiti mawazo na hisia za wengine. Acha watu wajisimamie wenyewe. Ikiwa wana kitu cha kukuambia watakuambia ,ni jukumu lao sio lako. Kufikiria kupita kiasi kunaiua furaha yako
📌📌📌Usijutie kuhusu mambo yako uliyoyapitia kipindi cha nyuma.
✅️✅️✅️Wakati mwingine furaha ya maisha yako inaweza ikaletwa na baadhi ya makosa makubwa utakayoyafanya
✅️✅️✅️Wakati mwingine furaha ya maisha yako inaweza ikaletwa na baadhi ya makosa makubwa utakayoyafanya..!!
✔️✔️✔️Acha kudhani watu wana hasira na wewe, acha kutaka kujaribu kusoma mawazo ya watu. Acha kujaribu kudhibiti mawazo na hisia za wengine. Acha watu wajisimamie wenyewe. Ikiwa wana kitu cha kukuambia watakuambia ,ni jukumu lao sio lako. Kufikiria kupita kiasi kunaiua furaha yako
✅️✅️✅️Acha kudhani watu wana hasira na wewe, acha kutaka kujaribu kusoma mawazo ya watu. Acha kujaribu kudhibiti mawazo na hisia za wengine. Acha watu wajisimamie wenyewe. Ikiwa wana kitu cha kukuambia watakuambia ,ni jukumu lao sio lako. Kufikiria kupita kiasi kunaiua furaha yako