myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Furaha ni afya, furaha ni utajiri, furaha ni ibada. Furaha ni zawadi ya nafsi, moyo na akili, penye furaha kuna tabasamu kuu
πππPesa ni namba na namba hazina mwisho, kama furaha yako inategemea pesa umechagua kuteseka sana
AiseeTupo katika Dunia Ambayo watu wanaweza Kukuzidi kila Kitu lakini bado Furaha Yako na Amani Yako Ikawaumiza roho.
β οΈβ οΈβ οΈPesa ni namba na namba hazina mwisho, kama furaha yako inategemea pesa umechagua kuteseka sana
Maisha ya kuombaomba, kuazima na kukopa hovyo sio tu yanakuaibisha bali yanaua nguvu ya maneno yako. Chochote usemacho wanajiambia ila amezidi kuombaomba. Sometimes hii tabia sio kwamba mtu hana ila ni hulka iliyo jengwa ika athiri fikra na kutengeneza tabia sugu