myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu anapokuinulia watu kwaajili ya mpango wake juu yako, watu hao watakupenda upendo wa kweli usio na sababu!! Omba Mungu akuinulie watu kwa ajili yako!!
Mungu anapokuinulia watu kwaajili ya mpango wake juu yako, watu hao watakupenda upendo wa kweli usio na sababu!! Omba Mungu akuinulie watu kwa ajili yako!!
Ukomavu wa kifikra ni uwezo wa kuona mbali, kukubali mabadiliko, na kuwa na ufanisi bila kuwa na hofu ya kushindwa
Kabla ya kusambaza majungu kuhusu maisha ya mtu mwingine na kushindwa kwake, Kumbuka kwenye kitabu cha maisha yako kuna ukurasa usiotaka usomeke hadharani pia
Mungu anapokuinulia watu kwaajili ya mpango wake juu yako, watu hao watakupenda upendo wa kweli usio na sababu!! Omba Mungu akuinulie watu kwa ajili yako!!
SawasawaKabla ya kusambaza majungu kuhusu maisha ya mtu mwingine na kushindwa kwake, Kumbuka kwenye kitabu cha maisha yako kuna ukurasa usiotaka usomeke hadharani pia
Upendo πKuna watu wana kila kitu maishani lakini wanakosa kitu kimoja tu, UPENDO
Upendo unamwisho, chuki zinamwisho, furaha inamwisho, huzuni inamwisho. Neno pekee halina mwisho. Chunga maneno yako
Upendo unamwisho, chuki zinamwisho, furaha inamwisho, huzuni inamwisho. Neno pekee halina mwisho. Chunga maneno yako
Kuna watu wana kila kitu maishani lakini wanakosa kitu kimoja tu, UPENDO
Siku Zote Chagua Mtu Anayekupa Heshima , Kwasababu Heshima Ni Muhimu Kuliko Upendo
SAFARI YA MAISHAMaisha ni safari, si mbio, furahia kila hatua unayo piga.
Siku Zote Chagua Mtu Anayekupa Heshima , Kwasababu Heshima Ni Muhimu Kuliko Upendo
Maisha yana changamoto nyingi, jitahidi changamoto zikupe nguvu ya kupambana sio kukukatisha tamaa
Maisha yana changamoto nyingi, jitahidi changamoto zikupe nguvu ya kupambana sio kukukatisha tamaa.
SawaMtu asiye na upendo ni kama msitu ambao miti yake imechomwa moto
β οΈβ οΈMtu asiye na upendo ni kama msitu ambao miti yake imechomwa moto
βοΈβοΈβοΈUkiwa na chuki na roho mbaya isiyo na maana. Kuna siku utakuwa unaandaa maji ya ugali. Wakija wageni utayageuza ya kuoga.
ππKuna watu wame kua ndugu zetu moja kwa moja sababu ya nafsi zao za upendo juu yetu.
Ujumbe huooMuhimu sana kuweka hisia pembeni, mahala ambapo akili ndio ina paswa kutumika.