moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
ππJioni njema mamalishe wote
ππJioni njema wadau wa daladala bodaboda bajaji na kwenye vivuko
ππJioni njema wadau wa sokoni dukani gengeni saluni na hotelini
ππMlio safarini mfike salama muendako
πππJioni njema mliokuwa maofisini leo
ππJioni njema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga
Watu wenye nguvu sio tu wale wanaoshinda kila mara, Bali ni wale wasiokata tamaa wanaposhindwa
Ukizoea kusema uongo kwa ujasiri na ukaaminika, kuna siku utasema ukweli kwa machozi na usikusaidie
KUWA MAKINI KWA KILA ULISEMALO
Ukizoea kusema uongo kwa ujasiri na ukaaminika, kuna siku utasema ukweli kwa machozi na usikusaidieKUWA MAKINI KWA KILA ULISEMALO
AiseeUkizoea kusema uongo kwa ujasiri na ukaaminika, kuna siku utasema ukweli kwa machozi na usikusaidie
KUWA MAKINI KWA KILA ULISEMALO
SawaKufanikiwa sio kuwa na hela tu, Hata kujitambua wewe ni nani, unatakiwa kufanya nini, una marafiki wa Aina gani, Mnakaa maeneo gani na Kwa muda gani.
HAYO NI MAFANIKIO MAKUBWA SANA
SawasawaKufanikiwa sio kuwa na hela tu, Hata kujitambua wewe ni nani, unatakiwa kufanya nini, una marafiki wa Aina gani, Mnakaa maeneo gani na Kwa muda gani.
HAYO NI MAFANIKIO MAKUBWA SANA
KweliUkizoea kusema uongo kwa ujasiri na ukaaminika, kuna siku utasema ukweli kwa machozi na usikusaidie
KUWA MAKINI KWA KILA ULISEMALO
β οΈβ οΈKufanikiwa sio kuwa na hela tu, Hata kujitambua wewe ni nani, unatakiwa kufanya nini, una marafiki wa Aina gani, Mnakaa maeneo gani na Kwa muda gani.
HAYO NI MAFANIKIO MAKUBWA SANA
Kufanikiwa sio kuwa na hela tu, Hata kujitambua wewe ni nani, unatakiwa kufanya nini, una marafiki wa Aina gani, Mnakaa maeneo gani na Kwa muda gani.
HAYO NI MAFANIKIO MAKUBWA SANA
π€²π€²πMaombi na sala inapokua ndio Tabia yako, miujiza na ushindi inakuwa ni kawaida kila siku kwenye maisha yako.USIACHE KUABUDU, MUNGU NI MWEMA KWA KILA MTU
KweliWatu wengine watakupenda tu kwa kadri wanavyoweza kukutumia, Uaminifu wao huisha pale watakapoona huna faida tena kwao
ππWatu wengine watakupenda tu kwa kadri wanavyoweza kukutumia, Uaminifu wao huisha pale watakapoona huna faida tena kwao