moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
🙏🙏Jioni njema mamalishe wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🙏Jioni njema mamalishe wote
🙏🙏Jioni njema wadau wa daladala bodaboda bajaji na kwenye vivuko
🙏🙏Jioni njema wadau wa sokoni dukani gengeni saluni na hotelini
🙏🙏Mlio safarini mfike salama muendako
🙏🙏🙏Jioni njema mliokuwa maofisini leo
🙏🙏Jioni njema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga
Watu wenye nguvu sio tu wale wanaoshinda kila mara, Bali ni wale wasiokata tamaa wanaposhindwa
Ukizoea kusema uongo kwa ujasiri na ukaaminika, kuna siku utasema ukweli kwa machozi na usikusaidie
KUWA MAKINI KWA KILA ULISEMALO
Ukizoea kusema uongo kwa ujasiri na ukaaminika, kuna siku utasema ukweli kwa machozi na usikusaidieKUWA MAKINI KWA KILA ULISEMALO
AiseeUkizoea kusema uongo kwa ujasiri na ukaaminika, kuna siku utasema ukweli kwa machozi na usikusaidie
KUWA MAKINI KWA KILA ULISEMALO
SawaKufanikiwa sio kuwa na hela tu, Hata kujitambua wewe ni nani, unatakiwa kufanya nini, una marafiki wa Aina gani, Mnakaa maeneo gani na Kwa muda gani.
HAYO NI MAFANIKIO MAKUBWA SANA
SawasawaKufanikiwa sio kuwa na hela tu, Hata kujitambua wewe ni nani, unatakiwa kufanya nini, una marafiki wa Aina gani, Mnakaa maeneo gani na Kwa muda gani.
HAYO NI MAFANIKIO MAKUBWA SANA
KweliUkizoea kusema uongo kwa ujasiri na ukaaminika, kuna siku utasema ukweli kwa machozi na usikusaidie
KUWA MAKINI KWA KILA ULISEMALO
✅️✅️Kufanikiwa sio kuwa na hela tu, Hata kujitambua wewe ni nani, unatakiwa kufanya nini, una marafiki wa Aina gani, Mnakaa maeneo gani na Kwa muda gani.
HAYO NI MAFANIKIO MAKUBWA SANA
Kufanikiwa sio kuwa na hela tu, Hata kujitambua wewe ni nani, unatakiwa kufanya nini, una marafiki wa Aina gani, Mnakaa maeneo gani na Kwa muda gani.
HAYO NI MAFANIKIO MAKUBWA SANA
🤲🤲🙏Maombi na sala inapokua ndio Tabia yako, miujiza na ushindi inakuwa ni kawaida kila siku kwenye maisha yako.USIACHE KUABUDU, MUNGU NI MWEMA KWA KILA MTU
KweliWatu wengine watakupenda tu kwa kadri wanavyoweza kukutumia, Uaminifu wao huisha pale watakapoona huna faida tena kwao
📌📌Watu wengine watakupenda tu kwa kadri wanavyoweza kukutumia, Uaminifu wao huisha pale watakapoona huna faida tena kwao