myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SawasawaKUBALI KUJIFUNZA Pamoja na Akili uliyojaaliwa na Mungu bado kuna kiwango kikubwa sana cha maarifa amekiweka kwa watu wengine ili tutegemeane Kubali kujifunza kwa walio kutangulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawasawaKUBALI KUJIFUNZA Pamoja na Akili uliyojaaliwa na Mungu bado kuna kiwango kikubwa sana cha maarifa amekiweka kwa watu wengine ili tutegemeane Kubali kujifunza kwa walio kutangulia
USIOGOPE KUKOSEA Kukosea ni ishara kwamba unajaribu mambo mapya,Ni heri kujaribu ukakosea kuliko kulala ukingojea miujiza ambayo haiwezekani kutokea.
FANYA UKOSEE, REKEBISHA KISHA SONGA MBELE
Nataka kufanikiwaISHI HIVI
Kulala -masaa 8
Kufanya kazi -masaa 9
Familia -masaa 2
Mungu -masaa 2
Mazoezi -masaa 3
Kujijali mwenyewe -saa 1
IKIWA UNATAKA KUFANIKIWA
NakubalianaKUBALI KUJIFUNZA Pamoja na Akili uliyojaaliwa na Mungu bado kuna kiwango kikubwa sana cha maarifa amekiweka kwa watu wengine ili tutegemeane Kubali kujifunza kwa walio kutangulia
USIOGOPE KUKOSEA Kukosea ni ishara kwamba unajaribu mambo mapya,Ni heri kujaribu ukakosea kuliko kulala ukingojea miujiza ambayo haiwezekani kutokea.
FANYA UKOSEE, REKEBISHA KISHA SONGA MBELE
USIOGOPE KUKOSEA Kukosea ni ishara kwamba unajaribu mambo mapya,Ni heri kujaribu ukakosea kuliko kulala ukingojea miujiza ambayo haiwezekani kutokea.
FANYA UKOSEE, REKEBISHA KISHA SONGA MBELE
Acha kufanya vitu kwa ilimradi,Maana ilimradi ni neno la watu dhaifu na wasio na imani
JIFUNZE KUFANYA KWA UJASIRI