USHAURI TIBA: Ni vyema kupunguza matumizi ya dawa za maumivu kama aspirin, brufen na diclofenac, Kula kwa wakati husaidia kupunguza aside kuchimba kuta za tumbo,
NB: Endapo tatizo la vidonda vya tumbo haijatambuliwa, Na hutibiwa kwa dalili nimuhimu kuendelea na matibabu sahihi na hii huchukua muda mrefu, Kuanzia miezi na hata miaka,