Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NB: Epuka kabsa matumizi ya kiholela ya madawa yoyote yale,,, Weka mbali matumizi ya mitishamba
 
NB: Hakuna antibiotics inapaswa kutolewa kwa ushauri maduka ya dawa. Ni kwa vile Tanzania hatuna utaratibu sahihi katika hili
 
Ukiwa na homa, maumivu ya tumbo au tatizo lolote la kimwili, ushauri wa daktari unapaswa kuzingatiwa kabla ya kumeza dawa yoyote kiholela.
 
Epuka usugu wa vimelea dhidi ya dawa, kuwa makini na afya yako, Matatizo mengi ya kiafya huanzia kwenye kumeza madawa kiholela...
 
Epuka matumizi ya mitishamba kiholela, dawa hizi zinakutafina taratibu, utahisi umetibu tatizo kumbe unatengeneza tatizo jingine ndani kwa ndani
 
Anza safari ya kuingia afya yako kwa kuzingatia lishe bora mazoezi ya mwili, swala ka kuugua kwako litakuwa historia
 
Kikawaida hairuhusiwi mtu kwenda duka la dawa na kununua dawa bila drug prescription kutoka kwa dakitari
 
Kutokana na mazoea na kutokuwa na sheria watu wanajinunulia madawa ovyo ndiyo chanzo cha usugu wa vimelea dhidi ya dawa na side effects zinginezo zinazo tokana na matumizi ya dawa kiholela
 
USHAURI TIBA: Ni vyema kupunguza matumizi ya dawa za maumivu kama aspirin, brufen na diclofenac, Kula kwa wakati husaidia kupunguza aside kuchimba kuta za tumbo,

NB: Endapo tatizo la vidonda vya tumbo haijatambuliwa, Na hutibiwa kwa dalili nimuhimu kuendelea na matibabu sahihi na hii huchukua muda mrefu, Kuanzia miezi na hata miaka,
 
Watu wengi hupona vizuri na kutokua na matatizo edendelevu, Kumbuka kwamba inawezekana kuambukizwa tena bacteria wa H.pylori hivyo basi vidonda vya tumbo vinaweza kujirudia tena.

Nenda Hospital Pima H.pylori, Anza Matibabu na safari ya mitindo mazuri ya maisha kuanzia kwenye vyakula unavyo kula kilasiku...
 
NAKUKUMBUSHA. "Energy drink na Panadol sio dawa ya kuongeza Nguvu za kiume,Viagra na Mkongo sio dawa ya kumridhisha mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…