myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️Ukiwasaidia Sana Huenda wakaupenda mkono wako, Na sio moyo wako
✔️✔️Usiruhusu hofu ya kupoteza ikawa kubwa kuzidi wasiwasi wa kushinda
✅️✅️Usiruhusu hofu ya kupoteza ikawa kubwa kuzidi wasiwasi wa kushinda
InawezekanaUkiwasaidia Sana Huenda wakaupenda mkono wako, Na sio moyo wako
Usiruhusu hofu ya kupoteza ikawa kubwa kuzidi wasiwasi wa kushinda
Kamwe Usiache kusali hata ukipata yale yote uliyokuwa ukiyaomba
Ukishaanza kukataa kutumika, basi kuonekana una kiburi ndio gharama utakayolipia
Kamwe Usiache kusali hata ukipata yale yote uliyokuwa ukiyaomba