uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Tena usinikumbushe. Kidogo nitumbuliwe kwa kuwahi isidingo iliyo rudiwa. Sasa hivi sijisumbuii. Mpaka mkulu aondoke TangaWiki hii itv wamekuboa tena pole
Tena usinikumbushe. Kidogo nitumbuliwe kwa kuwahi isidingo iliyo rudiwa. Sasa hivi sijisumbuii. Mpaka mkulu aondoke TangaWiki hii itv wamekuboa tena pole
Hahahahaa....panga mistari mama,maisha yenyewe haya....Hhahahaaa umenikumbusha mbali kulikua na comedy ya mzee ndimbe na kinyau
Poleni sanaSisi wazima kabisa ni jumamosi ambayo Tanga tupo busy haswa
Cha mtu huliwa na mtu ila chuma huliwa na kutu, ila mke wa mtu ni sumuMkuu angalia usije ukakosa Like. Mke wa mtu huyo. Nadhani ungeuliza kwanza
Hahahaha unanitafutaTunamshukuru Mungu,maana ana makusudi na sisi kutuamsha salama.Vipi,uniq ameenda....
PoazMamboz
ahahaha jaman mbona nasikia yupo chato likizoTena usinikumbushe. Kidogo nitumbuliwe kwa kuwahi isidingo iliyo rudiwa. Sasa hivi sijisumbuii. Mpaka mkulu aondoke Tanga
Hapa ndio nimepata hadi chumba kabisa nimepanga...mara nyingi mmu lara akileta stor zakeHapa ndo nimekuona zaidi. Uzi huu udumu sana
Gud! Hahahahah, yupo..... Weekend Leo!Tunamshukuru Mungu,maana ana makusudi na sisi kutuamsha salama.Vipi,uniq ameenda....
Nani tena amehama huyoUkihama mji, haifai kunya ma*i.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona unajihami??[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kosa langu liko wapi?? Ameomba nimempa baas[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]