Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Maisha ya sasa akili tu,ukiyapatia full burudan
Hahahahaa....panga mistari mama,maisha yenyewe haya....
Hahahahaa....panga mistari mama,maisha yenyewe haya....
Gud.. Tunaziona......Tuko tunasambaza likes
Ah wacha weeHata ho chi minh na kundi lake hawezi kunitoa kwa Babe S. Jamani mnajua tuna ugeni Tanga. Ukiona kimya ni ubize tu.
Sisi wazima kabisaSie wazima! Sijui nyie 😉
Nilikuja kugundua wengi wanafuata mkumbo tuHeee basi unamoyo mie siwez soma na kupita tu
Mweleze aeleweOhoooooo!!!! Uliza kwanza ndugu,sehemu zingine sio[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mwee mie nimepata albam ya kutunzia picha zangu hahahHapa ndio nimepata hadi chumba kabisa nimepanga...mara nyingi mmu lara akileta stor zake
[emoji4][emoji4][emoji4]Am fine my love, nipo namsifu Mungu kwa uumbaji wake, kwa kukuumba ww na Uzuri wako. Mungu ni Fundi Mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo ni ligodolo kwakweli mana linachunguliaEti bidada kaweka kigodolo?
View attachment 542556
Ee ili wapate likes nyingi,ukipingana na kundi la wengi wanaambiana pm usipewe likes msaliti. Siasa sio kabisaNilikuja kugundua wengi wanafuata mkumbo tu
Ndio halafu mbona wewe hawakusumbui ni mimi tuHahahahaaaaaaa,mutu ya mutu ndaniii
Bando je?Jinyime ili ununue smartphone
Siasani na hiyo miwani ingevunjika siku hiyo hiyo [emoji41] [emoji41] [emoji41]Nilikua naendaga celebrities na mmu
Tako linatafutwa kwa nguvu jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo ni ligodolo kwakweli mana linachungulia